KAPINGA AZINDUA KITUO MAMA CHA GESI ASILIA ILIYOSHINDILIWA (CNG) JIJINI DAR ES SALAAM*
📌 *Ni cha Pili kwa ukubwa barani Afrika; Cha Kwanza kwa ukubwa EAC* 📌 *Kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku* 📌 *Ampongeza Dkt. Samia kutatua changamoto za wananchi kwa vitendo* 📌 *Aipongeza TPDC; Ataka Vituo vya CNG kuendelea kujengwa* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa […]