KITAIFA
May 12, 2025
11 views 4 mins 0

UCHAGUZI MKUU 2025: MAJIMBO MAPYA NANE YAAZISHWA, 12 YABADILISHWA MAJINA*

Na. Mwandishi Wetu, Dodoma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imeanzisha majimbo mapya nane na kubadilisha majina ya majimbo 12 ya uchaguzi yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika oktoba mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo tarehe 12 Mei, 2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani Jacobs […]