UTPC,JAMII AFRICCA, NA IMS WAIMARISHA MUUNGANO WA WAANDISHI WA HABARI AMBAO UMEZINDURIWA RASMI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa kushirikiana na JamiiAfrica na taasisi ya kimataifa ya IMS, wamezindua rasmi mradi wa miaka mitatu unaolenga kuwajengea uwezo waandishi wa habari nchini katika maeneo ya usalama na mapambano dhidi ya habari zisizo sahihi na upotoshaji. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo uliofanyika […]