KITAIFA
May 07, 2025
49 views 55 secs 0

WAKUU WA TAASISI ZA KIHABARI WAHUDHURIA UPITISHWAJI WA BAJETI YA WIZARA YA HABARI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Taasisi mbalimbali za kihabari nchini zimepongeza uwasilishaji na upitishwaji wa bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2025/2026, uliofanyika bungeni jijini Dodoma. Bajeti hiyo imewasilishwa Mei 7, 2025 na Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Paramagamba Kabudi, akiambatana na Naibu Waziri, Mheshimiwa Hamisi Mwijuma, Katibu wa […]