NYAMGUMA MAHAMUD AIBUKA MSHINDI HABARI ZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *๐Ni kupitia Tuzo za Uandishi wa Habari zaย Samia Kalamu Awards* *๐Wizara ya Nishati yatambua mchango wake* ๐ *Yamzawadia fedha taslimu, jiko linalotumia umeme kidogo, kompyuta mpakato na uniti za umeme za mwaka mmoja* ๐ *Mhandisi Mramba asema Tuzo ni kielelezo cha kuunga mkono juhudi za Rais Samia uhamasishaji Nishati Safi […]