29 views 2 mins 0 comments

TATOA,TAFFA WAILALAMIKIA TRA

In BIASHARA
April 25, 2025

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA

Chama cha wamiliki wa Maroli Tanzania (TATOA) kwa kushirikiana na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA)  Wameilalamikia Mamlaka ya mapato Tanzania kwa kuchaji kodi ya ongezeko ya thamani (VAT) katika mizigo na gharama za uendeshaji Kwa wanachama Transity.

Hayo yamebainishwa leo Aprili 25, 2025 Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Chama Cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) Elias….. amesema kuwa  kwasasa wasafirishaji wa ndani wamekuwa wakipata changamoto ya ufanyaji biashara katika bandari ya Dar es Salaam kutokana na ukataji wa kodi ya Transit ambayo haina kodi hususani kwa mizigo ambayo siyo ya ndani.

Amesema licha kukubaliana na Mamlaka ya mapato Tanzania juu ya kutokatwa kwa kodi ya Transity mwaka 2016 lakini kwasasa imekuwa kinyume na makubaliano hayo hali inayouwa wafanyabiashara Wadogo.

Aidha Amesema Mnamo tarehe 25 Februari 2025, TATOA na TAFFA walikutana na Kamishna Mkuu (CG) wa TRA kujadili masuala ya dharura yanayoathiri sekta ya usafirishaji na
alielekeza kusitishwa kwa hatua za utekelezaji kwa siku 30 ili pande zote zifanye mazungumzo ya
kutafuta suluhisho. Hata hivyo, licha ya kuwa na vikao na kuwasilisha andiko la kina kwa kikundi
kazi cha kodi, hawajapata majibu yoyote kutoka TRA hadi sasa. Amesema Wanachama wao wanakabiliwa
na ucheleweshaji wa malipo ya VAT, ambapo marejesho ya VAT yanashikiliwa au kupunguzwa,
na malori yanakamatwa na maafisa wa TRA wakidai malipo ya VAT

“Matokeo ya changamoto ya Kuweka VAT kwenye usafirishaji wa mizigo kunatishia ushindani wa wasafirishaji wa Tanzania dhidi ya wasafirishaji wa kigeni na Kuongezeka kwa gharama za usafirishaji kwa wateja Kuongezeka kwa ada za usafirishaji kwa wateja.Kupungua kwa sehemu ya soko kwa wasafirishaji wa ndani.Kupoteza ajira kwa zaidi ya watu 200,000 katika sekta hii”.


Kwa Upande wake Wakala wa Forodha Tanzania……. ameeleza jinisi ambavyo wamekuwa wakiathirika kutoka na changamoto wanayoipata TATOA amsema tatzo ya sheria

/ Published posts: 1975

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram