11 views 42 secs 0 comments

DKT. BITEKO AKIHITIMISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2025/2026

In KITAIFA
April 29, 2025

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2025 akihitimisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 bungeni jijini Dodoma. @biteko @wizara_ya_nishati_tanzania @onwm_tanzania @judith__kapinga

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga wakipongezwa na Wabunge mbalimbali mara baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2025/2026. #IMEPITA #BAJETI2025/2026

/ Published posts: 1975

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram