BIASHARA
August 16, 2024
211 views 4 mins 0

LUMINOUS KUUZA BIDHAA ZENYE UBORA WA KIMATAIFA ZINAZOTUMIA UMEME WA JUA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kutokana na mazingira mazuri ya kibiashara ambayo yamewekwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepelekea Kampuni ya Luminous Power Technologies kuingia makubaliano na Kampuni ya Swaminath Trading ili waweze kuuza bidhaa zenye ubora wa kimataifa zinazotumia umeme wa jua. […]

BIASHARA
August 04, 2024
185 views 4 mins 0

TFRA YAENDELEA KUWAGUSA WAKULIMA KWA ELIMU MSIMU WA NANENANE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ikiwa ni siku ya tatu katika kuadhimisha sikukuu za wakulima zilizoambatana na maonesho yanayofanyika kanda zote nchini na Dodoma yakiwa yanafanyika kimataifa, Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania imeendelea kutoa elimu katika maeneo mbalimbali yanayohusiana na tasnia hiyo. Akijibu swali lililoulizwa na watembeaji kutoka mradi wa Kilimo Tija Kigoma chini ya […]

BIASHARA
August 02, 2024
153 views 2 mins 0

TCB NA ZEEA YAINGIA MAKUBALIANO KUWAINUA WAJAWASIRIAMALI NA KUKUZA UCHUMI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Biashara Tanzania (TCB) leo imesaini mkataba wa makubaliano (MOU) naWakala wa serikali wa uwezeshaji wananchi kiuchumi zanzibar ( ZEEA) Makubaliano haya ya kimkakati yanalenga kuanzisha mpango maalum wa mikopo utakaonufaisha makundi maalum wakiwemo wanawake na vijana wanaojihusisha na shughuli za kiuchumi visiwani Zanzibar. Mpango huu unakusudia […]

BIASHARA
August 01, 2024
294 views 3 mins 0

TANZANIA YAPATA USD BILIONI 2.3 KWA KUUZA MATUNDA,KUNDE NJE YA NCHI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TANZANIA imepata dola za Marekani Bilioni 2.32 kwa kuuza tani milioni 1.57 za mazao ya matunda na jamii ya kunde huko China, India, Marekani, Pakistan na Brazil. Hayo yamesemwa leo (Alhamisi, Agosti Mosi, 2024) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na viongozi na wananchi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi wa Maonesho ya […]

BIASHARA
July 30, 2024
336 views 36 secs 0

SERIKALI IMERENGA KUAPATA FAIDA KATIKA HUDUMA YA USAFIRI WA TRENI KUPITIA MIZIGO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Imeelezwa kuwa Serikali imelenga kupata faida katika huduma ya  usafiri wa treni za umeme za Mwendokasi kupitia usafirishaji wa mizigo na sio kupitia abiria wa kawaida. Hayo yamesemwa julai 30,2024 na Waziri wa Uchukuzi profesa Makame Mbalawa wakazi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam na […]

BIASHARA
July 30, 2024
405 views 2 mins 0

TCB BANK YAZINDUA AKAUNTI YA KIDIGITALI YA TCB POPOTE ACCOUNT BANK

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Tanzania commercial Bank Baada ya kuzindua huduma ya Toboa na Vikoba Leo pia imeweza kuzindua huduma ya akaunti ya kidigitali ambayo itakayomfanya Mteja alipie bili mbalimbali inayoitwa TCB POPOTE ACCOUNT Ameyasema hayo Leo Tarehe 30 Julai 2024 Mkurugenzi wa Masoko ukuzaji wa Biashara na mahusiano ya umma Deo […]

BIASHARA
July 18, 2024
302 views 3 mins 0

FCC WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA WAFANYABIASHARA KUDHIBITI BIDHAA BANDIA NCHINI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri mkuu wawataka Wamiliki  wa nembo nchini  kuhakikisha wanafuatilia bidhaa zao sokoni Kwa kutoa taarifa Katika tume ya ushindani FCC pale wanapobaini uwepo wa bidhaa zao wanapoziagiza nchini na wanapoeka alama za bidhaa zao (NEMBO) na kuhakikisha wanadhibiti  bidhaa bandia haziingii nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo […]

BIASHARA
July 12, 2024
209 views 2 mins 0

BASHE AZITAKA NCHI ZA AFRIKA KUWA NA SERA NZURI ZA UWEKEZAJI SEKTA YA KILIMO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amezitaka nchi za Afrika kuwa na sera nzuri za uwekezaji katika sekta ya kilimo ili kuharakisha maendeleo ya sekta hiyo  na kukuza uchumi wa Afrika. Akizungumza wakati wa kuzindua mpango mkuu wa maendeleo wa mifumo ya chakula 2030 uliofanyika jijini Dar es Salaam, […]

BIASHARA
July 10, 2024
297 views 3 mins 0

WAZIRI JAFO ABAINISHA MKAKATI WA KUENDELEA KUONGEZA UZALISHAJI SUKARI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo amesema uzalishaji wa sukari kwa Tanzania Bara umeongezeka kwa kiasi kikubwa zaidi ya miaka iliyopita na ili kukidhi mahitaji yaliyopo kupitia kampuni za sukari inatarajiwa kuzalishwa tani 706,000 ifikapo Mwaka 2025/26 Akizungumza jana Julai 10, 2024 kwenye Mkutano wa wazalishaji wa sukari wa […]

BIASHARA
July 09, 2024
396 views 2 mins 0

SANLAM KUWAPATIA FURAHA WANANCHI KWA KUWEKEZA MFUKO WA SANLAM PESA MONEY MARKET FUND

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Usimamizi wa mitaji Sanlam investment inayofanya kazi katika Nchi 25 za Afrika Mashariki  imeanza rasmi kufanya kazi nchini Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya CRDB ikilenga  kutoa fursa kwa Taasisi,Vikindi na mtu mmoja mmoja  kuwekeza kupitia mfuko maalum wa Sanlam pesa Money Market Fund unaotoa faida […]