STAMICO YADHAMIRIA KUWAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeelezea Mipango yake ikiwemo kuendelea kuwawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini, huku msisitizo ukiwekwa kwenye ununuzi wa mitambo na huduma za uchorongaji ili kuwasaidia kupata taarifa za miamba, hatimaye wachimbe kwa tija. Hayo yalielezwa Juni 24, 2024 na Meneja Uwezeshaji Uchimbaji Mdogo kutoka STAMICO Bw. Tuna Bandoma kwenye Wiki […]
BENKI YA TCB YATANGAZA FAIDA YA SH. BILIONI 19.27
Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022 ambapo mapato yalikuwa Bilioni 172.83 sawa na asilimia […]
SAMAKI SAMAKI KUJA NA KAMPENI YA HATUSHIKIKI YENYE OFA KABAMBE
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katika kuhakikisha burudani hazipoi na kuwafikia watanzania Hatushikiki imekuja na kuzama kwa jua ili kukuza sekta ya burudani na kuwafanya wasanii kutoa burudani ya aina yake. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Kalito’s Way Group of Companies, Carlos Kalito, amesema kuwa wana sheherekea mafanikio ya biashara […]
DIAMOND PLATINUM KUMTAMBULISHA MSHINDI WA MILION 20 KUTOKA TABORA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wasafi Bet Wamtambulisha mshindi wa milioni 20 ambaye anayetokea Tabora Saidi Daudi pia amesindikiwa na washindi watano walioweza kujishindia simu janja ya SMART PHONE Saidi amejishindia pesa hizo Kwa bet ambayo aliyoweza kucheza na kubashiri na kuingia Katika droo hiyo na baadhi Yao walishinda shilingi 10000 Kwa kila […]
IRENE UWOYA ATOA SIRI YA MAFUTA YAKE KUWA YANA UPAKO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mrembo Msanii Irene uwoya Amesema watu ambao wenye Imani potofu Kwa yeye ameokoka na kuwa mtumishi wa mungu na kutangaza urembo sio dhambi mungu ameshaeka Imani hiyo Kwa mwanamke kujiremba na haiepukiki maishani Msanii huyo Amesema Amemrudia mungu wake Kwa kuokoka na kusema baadhi ya matendo yake yamebadilika […]
WAFANYABIASHARA WATOA RAI KWA TRA WASHIRIKISHWE NJIA YA KUKUSANYA MAPATO NASI KUTUMIA NJIA ZA VISHOKA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA JUMUIYA ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es salaam, wametoa rai kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA kutumia njia ya ushirikishaji katika kukusanya mapato, badala ya kutumia njia zisizofuata misingi ya kisheria ikiwemo vishoka. Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo Juni 07/2024 Jijini Dar es salaam Mwenyekiti […]
WANANCHI KUJENGEWA KUJUA UMUHIMU WA KUTUMIA MAZIWA KATIKA WIKI YA MAZIWA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kupitia Bodi ya maziwa inaelekea Katika kuazimisha wiki ya Maziwa ambayo itakayofanyika Tarehe 1 Juni 2024 yenye kulenga utumiaji wa maziwa Kwa kila mwananchi na kupewa ufahamu wa jinsi ya utumiaji Kwa maziwa yote ambayo yaliyosindikwa na yasiyosindikwa. Msajili wa Bodi ya maziwa […]
ENEO LA URAFIKI TEXTILE LANUNULIWA NA SHIRIKA LA NYUMBA NHC
Na Mwandishi wetu Wamachinga Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki mapema mwaka huu, ikiwemo mali zote zilizokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania – China Friendship Textile CO LTD). Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa ameyasema hayo leo wakati wa ziara […]