BIASHARA, KITAIFA
May 10, 2024
740 views 3 mins 0

BANK YA TCB KUZINDUA VIKOBA VYA KIDIGITALI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA TANZANIA Commercial Bank BANK (TCB) imefanya mapinduzi yanayolenga Vikundi vya kuweka na kukopa yaani Vikoba ili kumwezesha wafanyabiashara wadogo wadogo kukopa Kidijitali ndani ya Kikoba kidigitali. Akizungumza wakati wa uzinduzi, huo leo Mei 09, 2024, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Benki, Adamu Mihayo amesema kuwa […]

BIASHARA
May 07, 2024
314 views 4 mins 0

WAMACHINGA KUPATIWA VIWANJA KUPITIA MAENDELEO BANK

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Mandeleo Leo imesaini mkataba wa makubaliano ya pamoja Kati yake na shirikisho la umoja wa wamachinga wa Kariakoo (KAWASSO) utakaowawezesha wafanyabiashara hao kupata viwanja vya makazi sambamba na kupata mikopo kwa ajili ya Kujengea nyumba unaojulikana kama ‘Machinga Plot Finance’. Akizungumza na waandishi wa habari Leo […]

BIASHARA, KITAIFA
May 04, 2024
298 views 55 secs 0

RC MTAKA:UZURI WA BAJETI YA KILIMO NI SHANGWE KWA WAKULIMA WOTE NCHINI

JIJINI DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kufuatia Wizara ya Kilimo kutangaza katika kuendelea na mkakati wa kuendelea na zoezi za usambazaji wa mbolea ya ruzuku nchini katika mwaka 2024/2025, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka ameipongeza Wizara hiyo kwa hatua zake za madhubuti za kuhakikisha Wananchi wa Mkoa wa Njombe wanaendelea kupata mbolea ya […]

BIASHARA, KITAIFA
May 04, 2024
353 views 3 mins 0

BANK YA KILIMO TADB YAWEZESHA MAFUNZO YA MIKOPO KWA WATAALAMU WA KILIMO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya  maendeleo. ya kilimo  (TADB) imetoa  mafunzo ya mikopo kwa wataalamu wa kilimo nchini ikiwa na lengo Mahususi la kuweza kuhudumia watu mbalimbali Katika huduma za kilimo huku washiriki kutoka Burundi wameweza kushiriki Katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Benki ya kilimo kwa kushirikiana na Benki mbalimbali nchini. […]

BIASHARA, KITAIFA
May 03, 2024
293 views 11 secs 0

SILINDE:TUNAONYESHA UMMA MABADILIKO CHANYA AMBAYO WIZARA IMEKUWA IKIYAFANYA KATIKA SEKTA YA KILIMO

JIJINI DODOMA Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema lengo la Wizara kuweka maonyesho katika viwanja vya Bunge ni kuonesha Umma mabadiliko chanya ambayo  Wizara imekuwa ikiyafanya katika Sekta ya Kilimo kuanzia katika ngazi ya tafiti mpaka katika ngazi ya uwekezaji ya kuongeza thamani ya mazao. “Tunaonesha watu namna ambavyo tunaendesha Sekta ya […]

BIASHARA, KITAIFA
May 03, 2024
265 views 0 secs 0

MALENGO YA RAIS SAMIA NI KUKIFANYA KILIMO KUWA NA TIJA ZAIDI

JIJINI DODOMA Wizara ya Kilimo imehitimisha bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma kwa kishindo kikubwa. Bajeti hiyo ya zaidi ya shilingi Trilioni 1.24 inatajwa kubeba matumaini ya mamilioni ya wakulima na watanzania wote kwa ujumla Akiwasilisha bajeti hiyo, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema malengo ya Serikali ya Awamu […]

BIASHARA, KITAIFA
May 03, 2024
313 views 3 secs 0

BAJETI YA WAKULIMA YAPITIASHWA KWA KISHINDO KIKUBWA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha matumizi ya  ya Shilingi trilioni 1.24 kwa ajili ya Wizara ya Kilimo katika mwaka 2024/2025 kwa ajili ya  utekelezaji   wa mipango mbalimbali iliyoainishwa ili kuendelea kukuza Sekta ya Kilimo nchini. Kwa mujibu wa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Wizara imeongeza kipaumbele kimoja na hivyo […]

BIASHARA, KITAIFA
May 03, 2024
373 views 48 secs 0

BASHE KWENYE MAONYESHO YA TEKNOLOJIA ZA KILIMO BAADA YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alipata nafasi ya kupita katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilisha Bajeti ya Kilimo, jana Mei 02, 2024. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu ya ‘FROM LAB TO FARM 2024’ yamelenga kuonesha jinsi ubunifu na teknolojia za kisasa zinavyoweza kuchochea maendeleo kwenye Sekta […]

BIASHARA, KITAIFA
May 02, 2024
497 views 24 secs 0

MRADI WA BBT KUTEKELEZWA KATIKA HALMASHAURI 100 NCHINI

JIJINI DODOMA Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025, amesema wizara yake itaendelea kuwezesha upatikanaji wa ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye kilimo kupitia utekelezaji wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a […]