BIASHARA
April 29, 2024
356 views 28 secs 0

MAONESHO YA KILIMO KUANZA RASMI KESHO JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma  ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge. Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya “from Lab to Farm 2024” yanalenga kuonesha namna matumizi ya teknolojia yanavyochagiza maendeleo ya kilimo ambapo wadau mbalimbali wa kilimo […]

BIASHARA
April 29, 2024
162 views 30 secs 0

FAHAMU MFUMO WA KIDIGITALI UNAOTUMIKA KUIMARISHA USALAMA WA CHAKULA NCHINI

Wizara ya Kilimo imekuwa na mkakati wa kutoa mafunzo kuhusu Mfumo wa Crop Stocks Dynamics System (CSDS) kwa watalaamu wa kilimo katika ngazi ya Halmashauri na Sekretarieti za Mikoa ili kuimarisha usalama wa chakula na upatikanaji wa masoko nchini. Huu ni mfumo wa kidigitali wa kusajili ghala, masoko, vituo vya ukaguzi wa mazao na wafanyabiashara […]

BIASHARA
April 29, 2024
201 views 45 secs 0

UHIFADHI WA MAZAO HUMSAIDIA MKULIMA KUPATA BEI NZURI SOKONI

Wizara ya Kilimo imeendelea na mikakati kabambe ya uwekezaji kwenye miundombinu ya uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha nafaka na mazao mbalimbali yanakidhi vigezo vya ubora katika soko na yanakidhi vigezo vya ubora vya Kimataifa. Uimarishaji wa miundombinu hii inasaidia kuhakikishia nchi Usalama wa Chakula na kudhibiti magonjwa kama Sumukuvu kwani miundombinu hii huwezesha nafaka kuhifadhiwa […]

BIASHARA
April 28, 2024
243 views 47 secs 0

MAANDALIZI YA MAONYESHO YA WIZARA YA KILIMO DODOMA YAFIKIA PAZURI

DODOMA Kuelekea Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 itakayosomwa Bungeni jijini Dodoma, Mei 2 na Mei 3, 2024, Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kilimo zilizo chini yake wameandaa maonyesho maalumu yatakayowezesha wananchi mbalimbali wakiwemo waheshimiwa Wabunge kuweza kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa na Wizara hiyo kupitia taasisi zake. […]

BIASHARA
April 28, 2024
1268 views 2 mins 0

MATUMIZI YA CHOKAA KATIKA KILIMO HUIMARISHA AFYA YA UDONGO MCHACHU

Zikiwa zimebaki siku 3 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara ya Kilimo imeeleza umuhimu wa utafiti katika kufanya kilimo cha kisasa, chenye tija na manufaa makubwa kwa wakulima Wizara hiyo imeweka bayana kuwa utafiti umeendelea kuwezesha upatikani wa mbegu Bora za mazao zenye sifa za kustahimili mabadiliko […]

BIASHARA
April 28, 2024
304 views 2 mins 0

KUPANDA KWA SENTIMITA 60 KWA SENTIMITA 30 KUNAONGEZA WINGI WA MIMEA

Zikiwa zimebaki siku 3 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara ya Kilimo imeeleza umuhimu wa utafiti katika kufanya kilimo cha kisasa, chenye tija na manufaa makubwa kwa wakulima Wizara hiyo imeweka bayana kuwa utafiti umeendelea kuwezesha upatikani wa mbegu Bora za mazao zenye sifa za kustahimili mabadiliko […]

BIASHARA
April 27, 2024
196 views 47 secs 0

MAPINDUZI YA KILIMO YATAPATIKANA KWA KUTUMIA ZANA BORA ZA KILIMO

Na Mwandishi wetu; Kuelekea Mei 2 & Mei 3, 2024 tarehe za Bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kusomwa na kujadiliwa Bungeni Dodoma, tumekuandalia makala fupi itakayoangazia faida atakazopata mkulima kwa kufanya kilimo kwa kutumia zana bora za Kilimo na Teknolojia ya kisasa; 1. Kutumia zana za kilimo katika uzalishaji wa […]

BIASHARA
April 27, 2024
242 views 46 secs 0

WIZARA YA KILIMO IMEJITOA KIMASOMASO KUFIKIA WAKULIMA MOJA KWA MOJA-AFANDE SELE

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Msanii mkongwe nchini, Afande Sele, akiwa Kilindi mkoani Tanga kwenye shamba la miche ameipongeza wizara ya kilimo chini ya Mhe. Hussein Bashe kwa maendeleo makubwa kwenye sekta ya kilimo nchini na kwa kujitoa kimasomaso kuwafikia wakulima moja kwa moja Afande Sele amesema kuwa ndani ya miaka mitatu ya Rais Samia, Taifa […]

BIASHARA
April 27, 2024
273 views 0 secs 0

TUMELETEWA WATAALAMU ILI TUPATE PARACHICHI KWA UHAKIKA-MKULIMA MBEYA

Na Mwandishi Wetu Mkulima Silvester Thomas Kayombo kutoka Mbeya anayejihusisha na Kilimo cha parachichi aishukuru wizara ya Kilimo kwa kulifanya zao la parachichi kuwa zao la kimkakati na kuwapelekea wataalamu (maafisa ugani) wanaowasaidia kupata tunda hilo kwa uhakika. Kayombo ameeleza namna serikali kupitia Wizara ya Kilimo inavyowasaidia kufanya kilimo cha kisasa kwa kuwapelekea wataalamu pamoja […]