NAIBU WAZIRI SANGU AZITAKA MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA KUANDAA KANZIDATA ZA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WALIOPATA MKOPO KUPITIA TASAF
Na. Lusungu helela-MBEYA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa kanzidata za wanafunzi waliohitimu Vyuo Vikuu waliotoka kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) walionufaika na mikopo ya elimu ya juu kwa asilimia 100 katika vyuo […]