BIASHARA
February 01, 2025
113 views 2 mins 0

Watumishi TFRA Watakiwa Kufanya Kazi kwa Weledi ili Kukidhi Matarajio ya Wakulima

Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wametakiwa kufanya kazi kwa weledi na kujikita katika kutatua changamoto za wakulima kwa haraka na ufanisi, ili kufanikisha matarajio ya sekta ya kilimo na Serikali kwa ujumla. Wito huo umetolewa, Januari 31, 2025, na Mwenyekiti wa Bodi ya TFRA, Dkt. Anthony Diallo, wakati wa kikao cha […]

BIASHARA
January 31, 2025
103 views 51 secs 0

WAZIRI MBARAWA AITAKA TRC KUHAKIKISHA MRADI WA UVINZA-MUSONGATI KUKAMILIKA KWA WAKATI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Reli Tanzania(TRC) kuhakikisha mradi wa reli ya Uvinza-Musongati unakamilika kwa wakati na kwa kuzingatia thamani ya fedha ili kurahisisha shughuli za usafiri na usafirishaji baina ya Tanzania, Burundi na DRC. Ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kusaini […]

BIASHARA
January 31, 2025
85 views 2 mins 0

Uongozi wa TUGHE tawi la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wapongezwa

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MOROGORO-Uongozi wa Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) tawi la Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) umepongezwa kwa kusimamia vyema maslahi ya wafanyakazi, hali iliyosaidia kupunguza malalamiko yao kwa kiwango kikubwa. Pongezi hizo zimetolewa na Meneja wa Utawala na Rasilimali Watu wa TFRA, Naomi Fwemula, aliyemwakilisha Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi, Victoria […]

BIASHARA
January 31, 2025
93 views 2 mins 0

RC CHALAMILA: DAR- KUZINDUA BIASHARA SAA 24 FEBRUARI 22,2025

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Asema maandalizi ya kufunga taa na Camera za usalama yanendelea vizuri. Mara baada ya jiji la Dar es salaam kufanikiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika Mkuu wa Mkoa huo Mhe Albert Chalamila ametangaza rasmi kuanza kwa shughuli za biashara kwenye jiji hilo saa 24 […]

BIASHARA
January 29, 2025
168 views 45 secs 0

SOKO LA KARIAKOO LATARAJIWA KUANZA SHUGHULI ZAKE FEBRUARI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SOKO la Kariakoo linatarajiwa kurejesha shughuli zake kuanzia mwezi Februari, 2025 mara baada kukamilika kwa ujenzi na ukarabati wa soko sambamba na kukamilika kwa kazi ya uhakiki wa waliokuwa wafanyabiashara kwenye soko hilo. Uhakiki uliofanywa na timu maalum iliyoundwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ikijumuisha wawakilishi […]

BIASHARA
January 21, 2025
117 views 3 mins 0

WIZARA YA MADINI YAKUSANYA BILIONI 521 NUSU YA KWANZA YA MWAKA WA FEDHA 2024/25

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA • *_Waziri Mavunde asisitiza lengo la trilioni 1 kufikiwa_* • *_STAMICO yapiga hatua kubwa kuelekea malengo yake_* • *_Asilimia 18 ya nchi kufanyiwa utafiti wa kina mwaka hivi karibu_* 📍  *Dodoma* Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni […]

BIASHARA
January 21, 2025
106 views 2 mins 0

TFRA YATOA ELIMU YA MBOLEA KWA VITENDO KUPITIA MASHAMBA DARASA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) kwa kushirikiana na kampuni za mbolea za ETG na Itracom zimefanikiwa kusambaza tani nne za mbolea kwa ajili ya kutoa elimu kwa vitendo kupitia mashamba ya mfano yaliyoanzishwa katika Halmashauri zote za mikoa ya Lindi na Mtwara. Elimu hiyo inalenga kuwahamasisha wakulima kutumia mbolea […]

BIASHARA
January 20, 2025
99 views 2 mins 0

UAP INSURANCE YABADILIASHWA JINA KUWA NEWTAN INSURANCE

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA NewTan Insurance imeleta mabadiliko Kwa wateja wao wa bima Kwa kuwapa elimu ya bima Kwa wakulima ambao ni watumiaji wa bima hiyo Kwa ajili ya kuweza kujikinga na majanga ambayo yatakayoweza kujitokeza Katika kilimo Hayo Ameyasema Leo Tarehe 21 January 2025 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa NewTan Insurance Nelson […]

BIASHARA
January 16, 2025
113 views 3 mins 0

WAZIRI MAVUNDE: KWAHERI PROF. IKINGURA, KWAHERI WAJUMBE BODI YA GST

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Aipongeza Bodi ya GST kwa utendaji uliotukuka* *Prof. Ikingura atoa tano kwa Menejiment ya GST* Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameshiriki hafla fupi ya kuiaga Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ambayo imefikia mwisho wa muda wake wa kuiongoza taasisi hiyo tangu kuteuliwa kwake mwaka […]