FEATURE
on Apr 16, 2024
240 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu DODOMA Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Taasisi zilizo chini yake, Mikoa 26 ikijumuisha Halmashauri 184 zimeomba Bunge kuidhinisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2024/25 yenye jumla ya  shilingi trilioni 10.125. Kwa mwaka 2023/24, Ofisi ya Rais-TAMISEMI iliidhinishiwa bajeti ya  trilioni 9.18, kati ya fedha hizo, trilioni 3.52 ni fedha za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2024
332 views 5 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Amshukuru Rais Dkt. Samia kwaย  nyenzo na maelekezo* ๐Ÿ“Œ *Ahadi ya Rais ya umeme wa kutosha yatimizwa, sasa hakuna mgawo wa umeme* ๐Ÿ“Œ *Aziwashia taa nyekundu kampuni tanzu za TANESCO* ๐Ÿ“Œ *Ataka Wataalam kutumia maonesho kutatua kero si kurekodi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2024
309 views 44 secs

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki anatarajia kumwakilishaย  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa Kimataifa kuhusu usimamizi endelevu wa misitu ya miombo utakaofanyika Aprili 16-18,2024ย  jijini Washngton DC nchini Marekani. Mkutano huo pamoja na mambo mengine utajadili masuala mbalimbali ikiwemoย  namna […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2024
313 views 2 mins

Na Madina Mohammed Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dktย  Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki kwa lengo la kukuza Uhusiano wa Kidiplomasia ya kisiasa, uchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 15 April 2024 Waziri wa Mambo ya Nje […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2024
262 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Timu ya Maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani humo. Hayo yamesemwa leo na Afisa habari wa TAWA Beatus Maganja alipokuwa akiongea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 14, 2024
371 views 31 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM TMDA  imetoa taarifa Kwa umma kuwa Kuna taarifa inayosambaa Katika mitandao ya kijamii “Whatsapp”Kuhusu uwamuzi wa mamlaka za udhibiti wa dawa (national Medicine Regulator Authorities)za nchi kadhaa barani Afrika kuzuia matumizi na kuondoa (recall)Katika masoko Yao Kwa dawa duni ya maji aina ya Benylin Pediatrics syrup iliyotengenezwa mwezi Mei […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 13, 2024
387 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Dawa na vifaa tiba nchini (TMDA ) kupitia kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma imeshinda tuzo ya Umahiri katika Mawasiliano ya umma iliyobeba dhima ya โ€œThe best winner in media relations category for the year 2023 โ€ ikiwa na maana mshindi wa Tuzo ya Kundi la […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2024
277 views 2 mins

Na mwandishi wetu IMEBAINISHWA kuwa kuwepo kwa matukio ya majanga kwa miaka mingi ya hivi karibuni imeonesha uwezo mdogo wa kukabiliana na majanga pamoja na kuchukua tahadhari za majanga mbalimbali ikiwemo ajali na moto kutoka kitengo cha maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Kivuli […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2024
460 views 3 mins

MOROGORO *๐Ÿ“ŒHayati Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi* *๐Ÿ“ŒAnakumbukwa kama kiongozi aliyepigania maendeleo ya taifa.* *๐Ÿ“ŒDkt. Biteko asisitiza Sekta ya Kilimo iwe kimbilio* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa kumuenzi Hayati Edward Moringe Sokoine kwa kufanya kazi kwa bidii ili kuinua uchumi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 6, 2024
428 views 3 mins

BABATI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Dareda hadi Dongobesh (km 60) sehemu ya kwanza ya Dareda Mjini hadi Dareda Missioni (km 7) ili kuufungua kiuchumi Mkoa wa Manyara. Bashungwa amezungumza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...