FEATURE
on Apr 2, 2024
321 views 53 secs

DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya Sanzate – Nata iliyopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 45 na inatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Januari, 2025. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma leo Tarehe 2, Aprili 2024 na Naibu Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 2, 2024
214 views 3 mins

*๐Ÿ“ŒNi kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi* *๐Ÿ“ŒAigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara* *๐Ÿ“ŒAwataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua umeme, ili kuvipa ufanisi* *๐Ÿ“ŒAwatahadharisha juu ya uwepo wa mvua nyingi na kuchukua tahadhari* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 31, 2024
459 views 38 secs

Na mwandishi wetu Tarime Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 31 Machi 2024 amefika kijijini Komaswa, wilayani Tarime mkoani Mara ili kuhani msiba wa aliyekuwa Askofu wa New Life Gospel Community Church (NLGCC), Marehemu Fransisca Mwita Gachuma ambaye alikuwa mwenza wa Ndugu Christopher Gachuma, Mjumbe wa Halmashauri Kuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2024
359 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM MAHAKAMANI DAR ES SALAAM, 29 Machi, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya shilingi milioni sita kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kutoa taarifa za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2024
376 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Mjumbe wa Halmashauri Kuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Steven Wassira amesema  hakuna haja yakuchapisha fomu ya mgombea uraisi ndani ya chama hicho kwakuwa  tayari wana mgombea ambaye anatosha. Wassira alitoa kauli hiyo wakati anahojiwa kwenye moja ya kipindi cha luninga alipoulizwa kuhusu mchakato wakumpata mgombea urais ndani ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2024
421 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM Ikiwa imesalia siku kadhaa kuelekea sikukuu ya Pasaka ambayo itaanza maadhimisho yake siku ya Ijumaa Kuu Machi 29, 2024 na baadae kufuatiwa na mkesha sikukuu yenyewe wananchi wameombwa kutoa taarifa za viashiria au dalili za kihalifu ili wahusika washughulikiwe mapema . Akizungumza leo Machi 28,2024 Kamanda wa Jeshi la […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2024
231 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu Lindi DIWANI wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi bora wa Miradi ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) iliyofanywa na kampuni zinazozalisha gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo. Yusuph ametoa pongezi hizo hivi karibuni wakati akizungumza na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 28, 2024
350 views 5 mins

Menejimentiย  ETDCO nayo isukwe upya* Ni kufuatia Wizi, Utendaji mbovu na kusuasua kwa miradi* Awataja baadhi ya Watumishi wanaohusika na vitendo hivyo* Waliobainika kufanya wizi hatua za kisheria zachukuliwa dhidi yao* Atoa onyo kwa wanaotumia vifaa vya TANESCO kufanya biashara ya vyuma chakavu* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 28, 2024
271 views 5 mins

358 views 2 mins

Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Tanzania imesainia Mkataba wa Ushirikiano na Nchi ya Hungary katika sekta ya maji ili kubadilishana uzoefu wa teknolojia katika sekta hiyo. Akizungumza leo Machi 28,2024 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Janury Makamba amesema kwa miaka mingi nchi hiyo inaongoza kwa teknolojia ya juu Duniani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...