FEATURE
on Mar 12, 2024
347 views 2 mins

Madina Mohammed DAR ES SALAAM Serikali Kwa kushirikiana na wadau wameweza kudhibiti ugonjwa wa Matende na Mabusha Katika Halmashauri 112 kati 119 na kubakiwa na Halmashauri 7 Halmashauri ambazo zenye maambukizi mapya ya Mabusha na Matende ni Pangani,Mafia,Kinondoni,Kilwa,Lindi Manispaa,Mtama Na Mtwara-Mikindani ambako Kuna jumla ya wakazi 1,203,359 Hapo awali maambukizi makubwa ya ugonjwa huo yalikuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 12, 2024
277 views 2 mins

๐Ÿ“Œ *Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenzi* ๐Ÿ“Œ *Yataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi* ๐Ÿ“Œ *Ujenzi wafikia asilimia 75* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kushirikisha Taasisiย  za Umma katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara katika Mji wa Serikali-Mtumba na hivyo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
FEATURE
on Mar 11, 2024
321 views 0 secs

๐Ÿ“Œ *Apokelewa na Katibu Mkuu na Wafanyakazi wa Wizara* ๐Ÿ“Œ *Aahidi kushirikiana na wadau kumsaidia Mhe. Rais kufikia malengo* Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio  amewasili rasmi ofisini na kuahidi kumsaidia Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan kutimiza malengo yake kwa Taifa. Alipowasili Ofisi za Wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma, alipokelewa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 11, 2024
382 views 10 secs

DODOMA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati)ย  akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba (wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya Nishati kati ya nchi hizo mbili. Kikao kimefanyika jijini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 11, 2024
415 views 2 mins

DAR ES SALAAM Tasisi ya Mama ongea na mwanao imesema hivi karibini wanatarajiwa kufanya tamasha kubwa la walemavu Nchi nzima na kuwapatia mahitaji yao mbalimbali ya msingi Katika tamasha hilo wataungana na makundi mengine ikiwemo vijana, bodaboda, wajasiliamali na watakuwa na kauli mbiu isemayo “Mtonye mwenzako Mama tena” Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema hii […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 9, 2024
296 views 2 mins

DAR ES SALAAM Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitajiondoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kutokana na kutotekelezewa kwa makubaliano waliyoyaingia na serikali kabla ya kukubali kushiriki kwenye serikali hiyo. ACT wanadai kuwa hoja zao tatu ikiwemo fidia kwa waliopata madhara katika uchaguzi 2020, kuundwa Tume ya Kijaji kuchunguza uvunjifu wa haki za binadamu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 8, 2024
359 views 2 mins

– Asema mfano mzuri ni kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo Machi 08, 2024 wakati akitoa hotuba ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Mkoa huo yaliyofanyika katika Uwanja wa Mji Mwema Wilaya ya Kigamboni. RC Chalamila amesema tunapoadhimisha Siku ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 8, 2024
253 views 25 secs

*Waziri Gwajima atoa wito kwa Wanawake* Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa Wanawake kufanya kazi kwa bidii na weledi kwa kuwa wanauwezo wa kufanya kazi nyingi  kwa umakini na kwa uaminifu mkubwa. Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo Machi 8, 2024 katika Kilele cha Maadhimisho ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 8, 2024
260 views 18 secs

DODOMA-CHAMWINO Wanawake wa Wizara ya Nishati, wameungana na wanawake wenzao dunia kuadhimisha siku ya wanawake ambayo Mkoani Dodoma imeadhimishwa wilayani Chamwino. Katika madhimisho hayo watumishi wametumia siku hiyo kuelimisha wananchi mbalimbali kuhusu nishati safi ya kupikia. Akitoa elimuย  kwa baadhi ya wananchi Joyce Msangi afisa Misitu, alisema utumiaji wa nishati safi ya kupikia unalinda afya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...