FEATURE
on Mar 23, 2025
70 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kupitia Kituo cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau pamoja na kuweka mipango ya kuendelea kuboresha huduma na kuongeza tija na ufanisi katika kuhakikisha usalama wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
54 views 6 secs

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika  na  Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi katika futari aliyoiandaa. Hafla hiyo ya  imefanyika katika Viwanja vya Ikulu  Zanzibar, tarehe 22 Machi 2025. Ameeleza kuridhika kukamilisha Sadaka ya Futari kwa Mikoa yote […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
80 views 2 mins

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema  Serikali ina dhamira ya dhati  ya Kuijenga Zanzibar yenye Maendeleo endelevu na huduma bora za jamii ikiwemo Elimu, Afya na Maji Safi na Salama. Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo alipoizindua Sera Mpya ya Maji na  Usafi wa Mazingira ya 2025 hafla iliofanyika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
44 views 3 mins

Na Happiness Shayo – Njombe Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta ya Misitu ili kuleta ufanisi na manufaa zaidi katika kuchangia ukuaji wa pato la Taifa (GDP) na kunufaisha wananchi kupitia rasilimali za misitu zilizopo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2025
56 views 6 mins

๐Ÿ“ŒTaa za barabarani 95 zawekwa  Mji wa Tunduma ๐Ÿ“ŒKm. 50 za barabara mpya zafunguliwa Halmashauri ya Momba Tunduma,Momba Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika  na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
53 views 2 mins

ย _โ–ช๏ธAsema Tanzania inayo teknolojia ya uchakataji mazao ya misitu.__โ–ช๏ธAisistiza Wizaraย  kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji wa mazao ya misitu._ย WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa uzalishaji mazao ya misitu kuhakikisha wanaongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini badala ya kusafirisha malighafi hizo nje ya nchi. Amesema kuwa Tanzania kwa sasa inayo teknolojia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
56 views 47 secs

Na John Mapepele Kwa mara ya kwanza  katika historia ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani ya mwaka huu  hapa nchini yanayofanyika katika viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe  Wizara ya Maliasili na Utalii imeandaa maonesho maalum ya mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu pamoja na Wanyamapori. Kwa vipindi tofauti wakikagua maandalizi ya siku […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
43 views 3 mins

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa Mizani waliokuwa zamu katika Mizani zilizopo katika barabara kuu ya T1 inayoanzia Dar es Salaam โ€“ Zambia kupitia mpaka wa Tunduma kwa ajili ya kupisha uchunguzi wa malalamiko katika Mizani hizo. Ulega amefanya maamuzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
62 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) imesema inajivunia mageuzi makubwa ya kisera ambayo yamewezesha kuwapo kwa mafanikio ya utoaji mafunzo ya amali. Akizungumza Machi 20,2025 na waandishi wa habari kwenye maonesho ya miaka 30 ya Veta, Mkurugenzi Mtendaji wa VTA, Dk. Bakari Ali Silima, amesema mageuzi makubwa yamefanyika tangu kuanzishwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
47 views 57 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *๐Ÿ“ŒUjenzi wafikiaย  94%* *๐Ÿ“DODOMA* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025, wakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...