FEATURE
on Mar 6, 2024
299 views 3 mins

Na mwandishi wetu LINDI,LIWALE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine kufungwa. Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2024
251 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Rekodi ya idadi ya watalii wa kigeni waliotembelea Hifadhi ya Urithi wa Dunia na Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara iliyo chini ya usimamizi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Machi 4, 2024 imevunjwa baada ya kupokea meli ya nane kutia nanga Hifadhini humo ikiwa na watalii 125 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2024
366 views 2 mins

Na mwandishi wetu Walimu wa shule za Sekondari Vetenari, Temeke, Sandali na wanafunzi wa shule ya ya Temeke wamepewa elimu ya mbolea na kuombwa kuwa mabalozi wema kwenye jamii zao juu ya matumizi sahihi ya mbolea. Elimu hiyo imetolewa na wawakilishi wa watumishi wanawake wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) ikiongozwa na Gema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2024
359 views 2 mins

Na mwandishi wetu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikiria Omari Mlopa (28),mkazi wa Mlandizi na wenzake wawili wakiwa na pikipiki 32 zilizoibwa na baadae kuzifanya zao kwa kuzikodisha kwa mikataba kwa watu mbalimbali na kujipatia pesa kila siku. Aidha Jeshi hilo limesema katika kipindi cha Januari hadi Februari, 2024 makosa ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2024
334 views 2 mins

Na mwandishi wetu Katika kuelekea chaguzi za juu za Chama Cha ACT Wazalendo wagombea wa nafasi hizo wameshiriki kwenye mdahalo wa kunadi sera zao ulioandaliwa na chama hicho ukihusisha mgombea nafasi ya Mwenyekiti Othman Masoud Othman na nafasi ya Kiongozi wa Chama wagombea ni Dorothy Semu na Mbarara Maharagande. Akizungumza katika mdahalo huo baada ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2024
305 views 3 mins

Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajia kuanza kukutana na wananchi na kusikiliza kero zao lengo likiwa ni kumuenzi kwa vitendo Hayati Raisย  mstaafu Ali Hassan Mwinyi ambae alikuwa akifanya hivyo kipindi cha uongozi wake lakini pia kujua utendaji kazi wa watendaji wake katika kuwahudumia wananchi. Hayo ameyasema leo Machi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2024
383 views 52 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Taasisi ya wahandisi Tanzania Kwa kushirikiana na bodi ya usajili wa wahandisi Tanzania (ERB) na chama Cha wahandisi washauri Tanzania (ACET) wameadhimisha Leo siku ya Uhandisi Duniani Jijini Dar es salaam Mtendaji mkuu wa Tanroads Mhandisi Mohammed Besta Amesema matukio.kama haya hutunza kumbukumbu ya Yale yanayojili na kupelekea chachu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2024
248 views 3 mins

TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Taifa iliyokutana kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo kwenye Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama cha ACT Wazalendo) leo tarehe 4 Machi 2024 imeridhia uamuzi wa Ndugu Juma Duni Haji kujitoa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa wa ACT Wazalendo. Kwenye hotuba yake kwa Halmashauri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 4, 2024
345 views 2 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa agizo hilo tarehe 04 Machi, 2024 Wilayani Masasi akiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...