FEATURE
on Jan 6, 2024
277 views 46 secs

Mwanga Ushirikishwaji vikundi vya kijamii kwenye matengenezo ya barabara ya Kisangara kwenda Shighatini wilayani Mwanga umemfurahisha Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff. Mhandisi Seff amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya hiyo kukagua mradi wa matengenezo katika barabara hiyo yenye urefu wa Km. 25, unaofanywa na kikundi maalum […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 6, 2024
396 views 6 mins

*📌Aweka Jiwe la Msingi Afisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari Wilaya ya Mkoani- Kusini Pemba* *📌Ufunguzi wa Afisi hiyo ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka ya 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar* *📌Asema Serikali itaendelea kupeleka huduma bora kwa wananchi* Pemba – Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 6, 2024
369 views 4 mins

Na Madina Mohammed *Serikali inajipa umuhimu wa juu sana kwenye swala hili la mafanikio ya hii kongani ya viwanda -*Mkoa wa pwani ni mkoa wa uwekezaji,Tunaviwanda 1525,120 ni viwanda vikubwa na vengine ni viwanda vya kati na vengine viwanda vidogo sana -*Serikali ya awamu ya sita ya Mhe rais Samia suluhu Hassan tokea imeingia madarakani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2024
441 views 4 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuwa iendelee kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kupinga vitendo vya ukatili kwa watoto kwani vinasababisha watoto wengi kukimbia familia zao na kukosa makao maalum. “Jamii na Watanzania kwa ujumla kila mmoja ashiriki katika kulinda haki na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 4, 2024
379 views 5 mins

Asema amekuwa mfano Kitaifa na Kimataifa* Apongeza Baraza la Vyama vya Siasa kukusanya maoni Miswada ya Sheria za Uchaguzi* Awasisitiza kwenda bungeni kutoa maoni ya miswada* Dar es Salaam Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 4, 2024
360 views 3 mins

Msemaji Mkuu wa Serikali ambae pia ni Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo Bwana Mobhare Matinyi ametembelea ujenzi wa Reli ya Kimataifa SGR kipande cha kwanza Dar Es Salaam – Morogoro katika stesheni ya Dar Es Salaam, January 03, 2024. Lengo la ziara hiyo nikujionea maendeleo ya ujenzi wa Reli ya SGR pamoja na kufahamu maandalizi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 3, 2024
318 views 2 mins

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amemuagiza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Daniel Mushi kuuondoa Uongozi mzima wa Mnada wa Pugu kwa kushindwa kufikia lengo la ukusanyaji wa mapato. Waziri Ulega ametoa maelekezo hayo jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika mnada huo mapema leo Januari 3, 2024 kwa lengo la […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 3, 2024
424 views 3 mins

Na Happiness Shayo Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetia saini mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo Maalum ya Uwekezaji wa Wanyamapori (Special Wildife Investment Concession Areas – SWICA) yenye thamani ya dola za Kimarekani milioni 278, sawa na shilingi za kitanzania Bilioni 696 kwa ajili ya kuendeleza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 3, 2024
495 views 4 mins

Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia* Ataka Wananchi kuchagua viongozi bora katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Mbogwe, Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 2, 2024
345 views 32 secs

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Mhe. Abdulrahman Kinana ameendelea na ziara yake ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye maeneo mbalimbali nchini na kufanikiwa kufika Wilaya Ruangwa mkoani Lindi. Akiwa Mgeni rasmi kwenye Mkutano mkuu CCM Wilaya ya Ruangwa, Kinana ametoa salaam za Rais Samia kwa wakazi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...