FEATURE
on Mar 21, 2025
59 views 4 mins

๐Ÿ“Œ *Uzalishaji umeme waongezeka kwa asilimia 59.9* ๐Ÿ“Œ *Misheni 300 kuongeza  upatikanaji  umeme kwa asilimia 100 ifikapo  2030.* ๐Ÿ“Œ *Serikali yaokoa sh.i bilioni 58.4 kwa kuunganisha Kigoma na gridi ya Taifa.* ๐Ÿ“Œ *Upatikanaji  bidhaa za mafuta umeendelea kuwa wa uhakika* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
46 views 2 mins

๐Ÿ“Œ Asisitiza kuwa, Rais Samia anajenga vyuo kila wilaya nchini ๐Ÿ“ŒApongeza utoaji wa mafunzo na ujuzi kuendana na teknolojia ya kisasa ๐Ÿ“ŒMakundi maalumu kupewa kipaumbele ๐Ÿ“ŒAsema VETA itakuwa msingi kwa malezi ya watoto na Vijana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeamua kuwekeza kwenye ufundi ili Watanzania […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2025
39 views 3 mins

๐Ÿ“ Mapato na Idadi ya Watalii Vyaongezeka Na Beatus Maganja, Mbeya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko, amesema kuwa juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2025
62 views 2 mins

*๐Ÿ“ŒWaziri wa Mambo Nje  Misri atembelea Bwawa la Julius Nyerere* *๐Ÿ“ŒAsifu hatua za Rais  wa Tanzania na Misri kusimamia  utekelezaji wa mradi* *๐Ÿ“ŒMradi wafikia asilimia 99.89* *๐Ÿ“RUFIJI* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amesema Tanzania na Misri zitaendeleza ushirikiano  kwenye utekelezaji wa miradi ya umeme na kudunisha ushirikiano uliowekwa na waasisi wa nchi hizo. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2025
42 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa imetoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira. โ€œMahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2025
67 views 2 mins

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amesema Serikali inatambua mchango mkubwa wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) kwa kuwa mstari wa mbele katika kutangaza amani, upendo, maadili, na usawa miongoni mwa wananchi wa Tanzania bila kujali tofauti zao za kiimani, kisiasa, au kijamii. Bashungwa ameeleza hayo jijini Dar es Salaam […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
50 views 3 mins

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imejipanga katika kuendelea kuimarisha na kuboresha uwezo wa Mawakili wa Serikali nchini, hayo yamesemwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari wakati akizungumza na kwenye Mkutano maalaumu na vyombo vya habari uliofanyika tarehe 19 Machi, 2025 katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kivukoni Jijini, Dar es […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
71 views 4 mins

Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imefanya ziara maalum Songo Songo Mkoani Lindi kujionea hali ya miundombonu ya uzalishaji na uchakataji wa gesi asilia, na utekelezaji wa miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) unaofanywa na kampuni za utafutaji na uzalishaji wa gesi asilia kisiwani humo. Kupitia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
63 views 2 mins

๐Ÿ“Œ MRADI*Unahusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Iringa hadi Sumbawanga* ๐Ÿ“Œ *Kapinga asema Mkoa wa Rukwa kuunganishwa na gridi ya Taifa kupitia mradi wa TAZA* ๐Ÿ“Œ *Serikali yatoa Bilioni 21.4 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi* ๐Ÿ“Œ *Wananchi Wilaya ya Mufindi kunufaika na mitungi ya Ruzuku* Serikali imesema kuwa, itaukamilisha kwa wakatil mradi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
55 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa jitihada zake katika kusimamia Sekta ya Maji. Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na EWURA ili kuhakikisha huduma za maji kwa wananchi zinaimarika.  Dkt. Biteko alitoa pongezi hizo leo, Jumatano tarehe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...