FEATURE
on Jan 2, 2024
554 views 49 secs

Na Abel Paul,Jeshi la Polisi- Mbeya. Jeshi la Polisi limesema mtuhumiwa Lucas Tarimio aliyekamatwa disemba 31,2023 kwa tuhuma za kumchoma visu na kusababisha kifo Beatrice Minja leo Januari 02,2024 amefariki dunia huko wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro. Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini Kamishna Msadizi Mwandamizi wa Polisi SACP David Misime […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 1, 2024
458 views 3 mins

Asema Maelekezo ya Rais Dkt. Samia katika salam za Mwaka Mpya yatafanyiwa kazi* Ajumuika na wananchi Bukombe kuukaribisha Mwaka 2024* Atoa salam za Mwaka Mpya 2024* Bukombe – Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu nchini, usiwe kigezo cha kugawa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 31, 2023
306 views 3 mins

Kwa kuelekea mwaka mwingine tumebakiwa na siku 1tu ambayo tunamaliza mwaka 2023 na kuingia mwaka mwingine 2024 ni kipekee tumshukuru mwenyezi mungu aweze kutufikisha salama Kwa mwaka 2023 Kuna mambo mengi ambayo yametokea hatuna budi kuyakumbuka na kujifunza na wapi tulipokosea Ili unapoingia mwaka mwingine tuwe tumejifunza na kuanza tena upya na tusifanye makosa Serikali […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 31, 2023
385 views 2 mins

Ashiriki misa Takatifu Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima- Ushirombo* Awataka waumini kuweka alama wawapo duniani* Atoa wito kumuombea Rais na Serikali kuleta Maendeleo* Atoa salamu za Mwaka Mpya, na kuwataka Watanzania kudumisha Amani na Upendo* Bukombe – Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewataka wazazi nchini kuwajibika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 31, 2023
321 views 7 secs

DODOMA:Na Madina Mohammed Jeshi la polisi limemkamata mtuhumiwa Lucas Paul Talimo Aliemshambulia mke wake Kwa kumchoma visu 25 sehemu mbalimbali za mwili wake Tarimo amekamatwa Leo 31,2023 Alfajili na jeshi la polisi akiwa amejificha Katika Kijiji Cha jema kata ya Oldonyo sambu wilaya ya ngorongoro mkoani Arusha akiwa anajiandaa kukimbia na kukimbilia nchi jirani Hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 31, 2023
333 views 2 mins

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko, ameungana na wasanii wa filamu zaidi ya 50 wa mkoa wa Dar Es Salaam katika Pori la Akiba Pande ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuendelea kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii. Katika ziara yake aliongozana na Kamanda […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 30, 2023
463 views 4 secs

M/kiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dsm Ndg. Abas Zuberi Mtemvu Akiongozana na Mnec wa Ccm Mkoa Ndg. Juma Simba Gadafi Pamoja na M/kiti wa Ccm Wilaya ya Kinondoni Ndg. Shaweji Mkumbura, Wamehudhuria Katika Ibada ya Kanisa la Adentista wa Sabato Yombo Dovya Wilaya ya Temeke, Ambapo M/kiti wa Ccm Mkoa Ndg. Abas Zuberi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 30, 2023
362 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Shirika la Reli Tanzania TRC Leo limepokea vichwa vipya vitatu vya treni za umeme ambavyo vilivyoundwa na kampuni ya Hyundai Rotem na mabehewa mapya 27 ya abiria yaliyoundwa na kampuni ya sung shin rolling stock Technology (SSRST) kutoka Nchini Korea kusini. Aidha serikali Kupitia shirika la reli ilifanya manunuzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 29, 2023
343 views 4 mins

Awataka wanachi kutumia fursa za uwepo wa Zahanati hiyo kupata huduma* Akemea viongozi wanaojificha Kwenye kivuli cha taratibu kuchelewesha maendeleo* Ujenzi wagharimu Shilingi Milioni 351* Kuhudumia Wananchi wa Kata nne, wapatao Elfu 12* Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 29 Disemba, 2023 amezindua Zahanati ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 28, 2023
411 views 3 mins

Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha za asili za jamii ya Wachaga, Wapare na Wamaasai litasaidia kukuza utalii wa Mkoani Kilimanjaro endapo litaendelezwa na kutumika ipasavyo. Amesema lengo la Tamasha hilo ni kukuza na kuhamasisha utalii […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...