FEATURE
on Dec 9, 2023
277 views 7 mins

Mpango wanufaisha watoto milioni 8.8, RITA kuendelea kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wa umri chini ya miaka mitano bure bila malipo MKOA Wa Dar es Salaam umefikiwa na mpango wa usajili watoto wa umri chini ya miaka mitano ukiwa ni Mkoa wa 26 kufikiwa na mpango huo ulioanza Juni 2013 ambapo jumla […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 8, 2023
406 views 52 secs

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza kuwa timu ya wataalam imeshafika kufanya tathimini ya daraja hilo. Bashungwa ametoa pole kwa Wananchi na watumiaji barabara hiyo kwa shida wanayoipa kutokana na kusitishwa kwa matumizi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2023
248 views 2 mins

Na Madina Mohammed Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF )kwa Kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori( TAWA ) zimefanya Warsha kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Sekta ya Benki pamoja na Mawasiliano ili kuweza kushirikiana kwa pamoja kudhibiti Maliasiri. Akizungumza na Waandishi wa Habari kando ya Warsha hiyo iliyofanyika Desemba 7 ,2023 jijini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2023
424 views 34 secs

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent, amekusanya kiasi cha tani 78.5 za mbolea zenye thamani ya shilingi Milioni 129,449,094 kutoka kwa wadau wa mbolea zitakazokabidhiwa kwa waathirika wa mafuriko ya tope yaliyotokea Wilayani Hanang katika mji mdogo wa Katesh hivi karibuni. Laurent amekabidhiwa kiasi cha tani 65 za mbolea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2023
499 views 3 mins

SERIKALI imeendelea kupokea misaada mbalimbali ya kibinadamu kwa ajili ya kusaidia waathirika wa maafa ya mafuriko na maporomoko ya mawe na tope kutoka mlima Hanangโ€™ mkoani Manyara. Akipokea misaada hiyo kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama hii leo Disemba 07, 2023 Waziri wa Maliasili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2023
333 views 41 secs

Zoezi la kurejesha mji wa Katesh katika hali yake ya awali ili kuwezesha shughuli za uzalishaji kuendelea, imefikia katika hatua nzuri ambapo asubuhi ya leo tarehe 07 Disemba 2023 Maduka na huduma nyingine zimeanza kurejea katika hali ya kawaida. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akishirikiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2023
330 views 36 secs

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (Mb) amewahakikisha Wananchi upatikanaji wa huduma ya maji katika maeneo ya Vijiji na Kata zilizoathiriwa na maporomoko ya matope kutoka Mlima Hanangโ€™ yaliyopelekea miundombinu ya maji kuharibiwa na kusababisha madhara ikiwemo vifo, majeruhi na uharibifu wa mali. Waziri Aweso ameeleza hayo leo tarehe 06 Disemba 2023 akizunguka katika maeneo hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2023
288 views 2 mins

NIRC Mbarali, Mbeya Wataalamu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji wakiendelea na mafunzo kwa vitendo juu ya ukarabati kinga miundombinu ya umwagiliaji kwa viongozi wa wakulima katika skimu za Umwagiliaji za Matebete, Igumbilo Isitu, Gonakuvagogolo pamoja na skimu ya Mwaru zilizopo wilayani Mbarali mkoani Mbeya. Mafunzo hayo yamehusisha skimu zaidi ya saba zilizopo wilayani humo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2023
317 views 2 mins

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Islaah Islamic Foundation Dkt Alhaji Hassan Sulle ametoa wito kwa Makampuni,Mshirika,Taasisis na Watu wenye Uwezo kuchangia Jumuiya ya Akhlaaqul Islam (JAI) Kinondoni ili iweze kuendelea kutoa huduma kwa watu wenye uhitaji ikiwemo wagonjwa Mahospitalini. Wito huo ameutoa Mwishoni mwa wiki Jijini Dar es salaam wakati akiongoza kongamano la harambeee ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...