FEATURE
on Nov 30, 2023
335 views 44 secs

Arusha Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA ) kwa kazi nzuri wanazofanya na za utekelezaji wa majukumu yake ya kuzifungua barabara nchini. “TARURA mnaupiga mwingi kwenye Ujenzi wa madaraja na barabara za mawe,mfikishieni salamu zangu Waziri wa OR-TAMISEMI,Mtendaji Mkuu pamoja na watumishi wote wa TARURA. Mhe. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2023
256 views 30 secs

Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yameshainiwa kati ya Waziri a Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza Edward Katumba, makubaliano hayo yamefanyika jijini Dar es Salaama “ […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2023
319 views 3 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali iko kwenye maandalizi ya awali ya ujenzi wa kampasi 14 mpya za vyuo vikuu kwenye mikoa ya pembezoni isiyokuwa na vyuo vikuu. Ameitaja mikoa hiyo kuwa ni Kigoma, Ruvuma, Singida, Mwanza, Kagera, Tanga, Njombe, Tabora, Manyara, Simiyu, Shinyanga, Lindi, Rukwa, na Katavi. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2023
536 views 3 mins

Asema Serikali inaendelea na juhudi za kutokomeza UKIMWI Nchini* Morogoro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) kuhakikisha kuwa wanatenga fedha za kutosha kwa ajili ya mapambano dhidi ya UKIMWI nchini badala […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 30, 2023
8514 views 35 secs

1.Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2023
444 views 3 mins

Na Beatus Maganja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Kamishna Benedict Wakulyamba ameeleza kuridhishwa kwake na Kasi ya utendaji mzuri wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA katika kulinda rasilimali za nchi bila kujali vipingamizi vinavyo jitokeza katika utekelezaji wa majukumu hayo ya kitaifa Ameyasema hayo wakati wa ziara yake […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2023
397 views 2 mins

Chama Cha Mapinduzi kimefanya kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa tarehe 29 Novemba 2023 Jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kilijadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2023
498 views 2 mins

Kanisa la Spirit Word Ministry lililofungiwa usajili Kwa sababu ya kutuhumiwa kusapoti maswala ya ushoga na serikali kulifungia kanisa hilo Mnamo Mwezi WA 3,2023 na serikali kusimamisha huduma na kufunga ukumbi waliokuwa wanafanyia huduma Awali serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Kwa kushirikiana na polisi limeweza kumfutia tuhuma hizo baada ya polisi kujilidhisha na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 29, 2023
308 views 20 secs

Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally’s lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 28, 2023
338 views 39 secs

Na Georgina Misama – MAELEZO Serikali kupitia Tume ya Mipango imekutana na wanamipango kutoka kwenye Wizara, Idara zinazojitegemea, Mashirika ya Umma na Halmashauri nchini ili kupata mwelekeo wa Serikali katika utekelezaji wa majukumu katika sehemu zao za kazi. Akiongea mapema leo Novemba 28, 2023 Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Lawrence Mafuru amesema kuwa kongamano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...