FEATURE
on Mar 19, 2025
55 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa jitihada zake katika kusimamia Sekta ya Maji. Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na EWURA ili kuhakikisha huduma za maji kwa wananchi zinaimarika.  Dkt. Biteko alitoa pongezi hizo leo, Jumatano tarehe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
52 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ Azindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji mwaka 2023/24 ๐Ÿ“Œ Upotevu wa maji wasababisha hasara ya shilingi bilioni 114.12 ๐Ÿ“Œ Maganzo yaibuka kidedea, Rombo yavuta mkia utoaji wa huduma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
52 views 8 mins

1. Kwa Waswahili unaitwa Mwarobaini kwa sababu unatibu magonjwa arobaini. 2. Kwa Wahindi unaitwa Duka la Dawa la Kijiji kwa sababu unatibu magonjwa zaidi ya 100. 3. Kuanzia mizizi, magome, matawi, majani, maua mpaka mbegu ni dawa! Ukiupanda unakaa miaka 200! 4. Mti huu upo karibu kila kona ya Dunia. Kwa Tanzania upo mwingi Dodoma! […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
57 views 29 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ongezeko la fedha za kujikimu Kwa siku kutoka Tzs 8500/= Hadi Tzs 10000/= Makusanyo ya mkopo iliyoiva (Machi 2021-Februariย  2025) Tzs 650.25 Bilioni Kuanzishwa Kwa Samia Scholarship 2022/2023 imenufaisha wanafunzi 3,696 Kuanzishwa Kwa mikopo ya stashahada 2023/2024 imenufaisha wanafunzi 9.959

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 19, 2025
50 views 12 secs

Mtia nia wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo, baada ya kutangaza rasmi nia yake ya kugombea nafasi ya Urais, tarehe 14 Machi 2025, mjini Morogoro, kupitia tiketi ya Chama cha NLD. Kwa mujibu wa kanuni ya Chama cha NLD, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 18, 2025
55 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA โ€ข _*Awahimiza kuzingatia afya zao kuepuka magonjwa, changamoto ya afya ya akili*_ ๐Ÿ“ *Dodoma* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amewataka watendaji na watumishi wa Wizara ya Madini kuzingatia uadilifu na maadali katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili kuhakikisha Sekta ya Madini inakua na kuendelea kuongeza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 16, 2025
74 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Idara ya Habari MAELEZO kwa kushirikiana na Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA) inaendelea na kazi ya kukamilisha ujenzi wa mfumo wa Usajili na utoaji wa vitambulisho vya kidigitali kwa Waandishi wa Habari nchi nzima – JOURNALISTS ACCREDITATION & REGISTRATION SYSTEM (JARS). Hayo yameelezwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 16, 2025
52 views 3 mins

Na Mwandishi  Wetu , Zanzibar Kamati Maalum ya Nec Zanzibar, Idara ya Itikaadi, Uenezi na Mafunzo  imemuasa Mwenyekiti  wa ACT  Wazalendo  ,Othman Masoud Othman,  kuepuka fikra zozote za kutamani  kurithi  sera za Kiongozi wa zamani  wa  UNITA, Jonas  Savimbi. Aidha azma ya kufikia  uamuzi wa kutaka kuweka kando maridhiaono ya kisiasa Zanzibar na kuanzisha mapambano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...