FEATURE
on Nov 22, 2023
305 views 56 secs

Wakala wa majengo TBA imesema kuwa mpaka Sasa jumla ya fedha wanaowadai wapangaji wao ni Zaidi ya sh.bilion 7.8 ambazo zinazodaiwa Kwa wapangaji wake zikiwemo taasisi za umma. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo Jumatano 22,2023 Mtendaji mkuu wa wakala wa majengo TBA Daud kondoro jambo hili limekuwa kikwanzo kwenye juhudi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2023
328 views 16 secs

KAMPUNI ya Azam Media imetambulisha tamthilia ya kitanzania inazofahamika kama โ€˜Siriโ€™ ambayo imebeba simulizi na kuleta mapinduzi ya tasnia ya tamthilia nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, msimamizi Mkuu wa Chaneli ya Sinema Zetu, Sophia Mgaza amesema kuwa uzalishaji wa tamthia hiyo umezingatia mahitaji ya soko kwani wametumia vifaa vya uzalishaji […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 22, 2023
324 views 56 secs

KUELEKEA Msimu wa Sikukuu za Christmas na Mwaka mpya Kampuni ya Startimes imezindua rasmi Kampeni ya “Lipa tukubusti” itakayodumu miezi mitatu kuwaweka karibu watazamaji kiburudani na kimichezo. Akizungumza na wanahabari leo Novemba 20,2023 Jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko wa Kampuni ya Startimes David Malisa amesema msimu huu wa Sikukuu familia zinakuwa pamoja hivyo Kampeni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2023
424 views 2 mins

Jeshi la Polisi Nchini leo Novemba 21, 2023 limepokea magari 43 kutoka Kampuni ya Ashok Leyland ikiwa ni jitihada za Serikali kuliwezeshwa Jeshi la Polisi kutekeleza majukumu yake ipasavyo. Akiongea katika hafla iliyofanyika bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay, Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema magari […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2023
262 views 7 secs

DODOMA Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum *Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wamejadili kuimarisha ushirikiano kwenye ajenda za kuendelea kumkomboa Mwanamke Kiuchumi, kiongozi, kijamii na kupambana na ukatili wa kijinsia. Akizungumza na Katibu Mkuu wa UWT Ndugu Jokate Mwegelo Ofisi za Makao Makuu Jijini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2023
290 views 4 mins

Hali ya upatikanaji umeme mkoani Dar es Salaam kuboreshwa Imeelezwa kuwa, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) litapeleka mtambo wa umeme wa MW 20 mkoani Mtwara kutoka kituo cha umeme Ubungo III ili kuimarisha hali ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara ikiwa ni utekelezaji wa agizo alilolitoa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2023
356 views 4 mins

Aitaka pia kukagua ushuru wa huduma unaotolewa kwa Halmashauri Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja na mpango wa muda mrefu utakaoonesha jinsi nchi itakavyoweza kuongeza kiasi cha gesi asilia ili muda wote kuwe na hazina ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2023
345 views 2 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini.ย Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 21 Novemba, 2023 katika Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi wazawa na Washauri elekezi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 21, 2023
420 views 4 mins

Wafanyakazi wa Kampuni ya wawekezaji wazawa Franone Mining and Games Campany LTD,inayochimba Madini ya Tanzanite eneo la Kitalu C,Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wamempongeza Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DKT.Samia Suluhu Hassan kwani wameweza kupata ajira tofauti na ilivyokuwa awali. Wakizungumza kwenye mgodi huo hivi karibuni walimshukuru mwekezaji huyo kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Nov 16, 2023
414 views 2 mins

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) katika kipindi cha mwaka 2022/23 imetoa zaidi ya Billioni Mbili kwa Halmashauri ya wilaya ya Babati na Jumuhiya ya Uhifadhi ya Wanyamapori Burunge (JUHIBU) ikiwa ni kurejesha kwa jamii faida zitokanazo na shughuli za utalii zinazofanywa na TAWA wilayani humo. Hayo yamesemwa Novemba 15, 2023 na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...