FEATURE
on Mar 16, 2025
70 views 3 mins

Na.Lusungu Helela- ROMBO Mwenyekiti wa Kamati ya  Kudumu ya  Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph  Mhagama amesema Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) ni chombo muhimu kwa ustawi na maendeleo ya Taifa la Tanzania na Watu wake. Amesema ndoto ya Tanzania ijayo haiwezi kutimia bila uwepo wa chombo hicho. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 16, 2025
66 views 6 mins

*๐Ÿ“ŒSerikali ya Awamu ya Sita yapongezwa kupelekea Umeme Maeneo Korofi mwambao wa ziwa Nyasa* *๐Ÿ“Œ Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaipongeza REA na TANESCO* *๐Ÿ“Œ Zaidi ya asilimia 98 ya Vijiji vyote Njombe vina umeme* *๐Ÿ“NJOMBE* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 16, 2025
52 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI: BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani ina uwezo wa kuhudumia kontena 300,000 kwa mwaka ni mara tatu ya Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa. Msigwa ameeleza hayo leo Machi 16 wakati akizungumza waandishi wa habari eneo la bandari hiyo, ambapo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 15, 2025
69 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados ๐Ÿ“Œ Wakubaliana kuwekeza katika Ushirikiano Sekta ya Utalii na Maji ๐Ÿ“Œ Nishati Safi ya Kupikia, M300 kivutio cha mazungumzoย  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Barbados, Mhe. Mia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 15, 2025
64 views 4 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Climate Investment Funds (CIF) Bi. Tariye Gbadegesin Mjini Bridgetown, Barbados. Mazungumzo hayo yamefanyika leo Machi 14, 2025 kando ya Mkutano wa Kimataifa wa kuhusu upatikanaji wa Nishati endelevu kwa wote […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
67 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Na Mwandishi Wetu MFUKO wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kupitia ruzuku wanayotoa kwa kaya masikini, imewezesha mahudhurio ya watoto kutoka kaya hizo kuongezeaka kwa asiimia sita. Hayo yamesemwa na Mratibu wa Malipo ya Walengwa kwa Mtandao, Josephine Joseph alipokuwaakizungumza kaktika Kongamano la Wadau wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
62 views 4 mins

82 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu, Dodoma MTAALAM wa Masuala ya Hifadhi ya Jamii kutoka, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Tanzania (PSSSF), Valentino Maganga amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka kutoka shilingi trilioni 6 hadi 10. Maganga amesema hayo leo mjini Dodoma, wakati wa Kongamano la Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini kwa Afrika Tawi la Tanzania (MISA-TAN) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 14, 2025
72 views 3 mins

๐Ÿ“ TAWA yaagizwa kurejesha Hifadhi ya Kilombero katika uasili wake Na Mwandishi wetu – Malinyi. Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Wakili Sebastian Waryuba amewataka wananchi waliohama kwa hiyari kutoka katika Kijiji cha Ngombo ambacho awali  kilikuwa ndani ya Pori la Akiba Kilombero ambao bado hawajalipwa fidia zao wajitokeze na kufika katika Kata ya Biro […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...