FEATURE
on Sep 14, 2023
277 views 2 mins

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha wahandisi wazawa wanashiriki kwenye ujenzi wa miradi mbalimbali nchini. Amesema kuwa kupitia utekelezaji wa Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Miaka Mitano wa Tanzania, unaolenga kupunguza ukosefu wa ajira kutoka 9% hadi 8% ifikapo 2025/26, Serikali inatarajia kutimiza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 12, 2023
288 views 52 secs

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 12, 2023 ameshuhudia utiaji Saini wa mikataba ya kazi za ujenzi na matengenezo ya Barabara TARURA Mkoa wa Dar es Salaam yenye thamani ya Tshs.21,260,364,932.43 katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa DMDP Mnazimmoja Jijini Dar es Salaam. RC Chalamila akiongea wakati wa hafla […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 11, 2023
350 views 58 secs

Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imefanya semina elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 10 Septemba, 2023, mkoani Arusha. Aidha, semina hiyo ililenga kutoa uelewa kwa Kamati hiyo kuhusu majukumu yanayotekelezwa na OSHA na namna taasisi hiyo iliyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 8, 2023
558 views 3 mins

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja amewataka watendaji wa ofisi yake kutangaza mafanikio ya wizara na taasisi zake ili wananchi waweze kutambua fursa zinazo wezeshwa na serikali. Mhandisi Luhemeja amesema hayo Septemba 7, 2023 wakati wa kikao kazi cha kujadili shughuli na kazi za Wizara na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 7, 2023
365 views 2 mins

Tanzania na Uganda inaendelea kuimarisha ushirikiano na mahusiano katika sekta ya mifugo kwa kusaini makubaliano ya udhibiti wa magonjwa ya wanyama yanayovuka mipaka na yanayo ambukiza binadam katika maeneo ya mipaka. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo Alhamis 07 September 2023 Waziri wa mifugo na uvuvi Abdallah Hamis Ulega Amesema Licha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 7, 2023
266 views 2 mins

Rais wa jamhuri ya muungano Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Kupitia serikali yake wataambatanisha viashiria na vitaashiria kufanikiwa Kwa mpango wa kilimo wa BBT Ili kuwapatia fursa Vijana kujihusisha na Kilimo. Amesema kuwa na kutaja baadhi ya viashiria hivyo ni idadi ya Vijana walio Katika mpango huo ambao wapo Zaidi 1200 Na Bado wapo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 7, 2023
379 views 3 mins

Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu itaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha usafirishaji wa mizigo kwa njia ya reli unaimarishwa kwa kutenga fedha kila mwaka ili kurahisisha usafirishaji wa mizigo ya ndani na nje ya Tanzania inayosafirishwa kupitia Bandari ya Dar es […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 7, 2023
242 views 2 mins

Tanzania Imeungana tena mwaka huu ili kuashiria kwa hatua nyingine kwa ajili ya tuzo ya chakula cha Afrika. Kwa miaka mingi,wametambua na kuadhimisha watu bora na taasisi zinazozingatia mifumo ya chakula endelevu Afrika. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo Alhamis 07 September 2023 Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete Amesema Sisi ni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 6, 2023
263 views 20 secs

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewataka watendaji wake kushirikiana kwa pamoja ili wananchi wapate huduma kwa wakati Waziri Ndalichako ameyasema hayo wakati wa kikao kazi cha kujadili kazi za Ofisi hiyo pamoja na Taasisi zilizopo chini yake kilichofanyika Septemba 6, 2023 katika jengo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 6, 2023
386 views 3 mins

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopigwa katika kipindi kifupi kutoka kuwa Shirika tegemezi na kuwa Shirika linalojitegemea huku akilitaka kuendelea kufanya kazi kwa bidii zaidi ili kufikia azma ya kuwepo kwa Shirika hilo. Aliyasema hayo Septemba 05, 2023 jijini Dodoma katika kikao kifupi na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...