FEATURE
on Jul 28, 2023
296 views 3 mins

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeeleza juhudi zinazofanywa katika kuhakikisha nishati ya Gesi inapatikana kwa uhakika na hatimaye kuwezesha upatikanaji wa nishati ya uhakika ya umeme nchini. Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 28, 2023 jijini Dar es Salaam Kaimu Meneja Uendelezaji wa Uzalishaji wa Gesi TPDC Mhandisi Felix Nanguka amesema kwamba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 28, 2023
253 views 2 mins

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana, amesema kuwa jukumu la kujiendeleza ni la mtu binafsi na kwamba hakuna anaeweza kumwendeleza mtu mwingine. Amesema hata serikali haiendelezi watu bali hujiendeleza kutengeneza mazingira mazuri kwa wananchi kujiendeleza kupitia fursa mbalimbali. Kinana ameyasema hayo leo Julai 28, 2023 wakati akizingumza na waganga wa tiba asiili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 28, 2023
277 views 4 mins

AFISA ustawi wa jamii manispaa ya Ubungo jijini Dar Naamini Nguve, amewataka wanandoa nchini wajitahidi kumaliza migogoro yao ili kupunguza wimbi la watoto wa mitaani. Nguve amesema kuwa katika kituo cha mabasi maarufu Magufuli kilichopo manispaa ya Ubungo jijini hapa wamekuwa wakipokea makundi ya watoto chini ya miaka 18, vijana, wazee pamoja na walemavu kutoka […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2023
482 views 23 secs

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ukumbi wa CCM Mkoa wa Mara Kinana, ameweka jiwe hilo la msingi leo Septemba 26,2023 ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake akikagua miradi na utekekezaji wa ilani ya Chama hicho. Akizungumzia mradi huo, Katibu wa CCM Mkoa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 26, 2023
448 views 21 secs

Wanaharakati wa kujitegemea wa kutetea haki za binadamu Deusedith Isaac SokaAmelaani vikali Kwa wale ambao walioweza kufanya vurugu Katika mkutano wa chadema ambao uliofanyika Katika viwanja vya temeke buriaga Kwa kushambuliwa Kwa waandishi wa habari wa mwananchi Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumatano 26 julai amesema gari ya wananchi ilifaanyiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 25, 2023
465 views 33 secs

Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imeziagiza taasisi za umma kuhakikisha watumishi wote wanaohusika na ununuzi wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuutumia mfumo mpya wa ununuzi โ€œNational e-Procurement System of Tanzaniaโ€ (NeST). Agizo hilo limetolewa na PPRA kupitia taarifa iliyotolewa na mamlaka hiyo hivi karibuni, ambapo taarifa hiyo imesema kuwa, taasisi za umma zinawajibu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 25, 2023
317 views 2 mins

Kamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania Suzan Kaganda amewahamasisha washiriki wa mkutano wanne wa mafunzo wa Jumuiya ya Polisi wa kike duniani (IAWP) Ukanda wa Afrika kutumia elimu wanayoendelea kupata ili kufahamu maana ya ulinzi wa amani na kushiriki katika opereshini mbalimbali za kimataifa. Ameyasema hayo leo Julai 25, 2023 katika ukumbi wa Mlimani City […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 25, 2023
316 views 4 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema taasisi za kifedha za kikanda na kimataifa zinapaswa kujishughulisha zaidi katika kubuni na kutoa masuluhisho ya kifedha ili kuunga mkono azma ya nchi za Afrika ya kuharakisha maendeleo ya rasilimali watu. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akihutubia viongozi mbalimbali wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 25, 2023
731 views 40 secs

Kikundi Cha Buta Vicoba Endelevu kimezinduliwa rasmi Jana na Mwenezi wa CCM Kata ya Bunju Shabiri Akbal Ismail na kuwataka wanawake hao kuwa pamoja na kushirikiana Kwa kila jambo. Ameyazungumza hayo Jana siku ya Jumatatu 24,2023 Katika ukumbi wa Boko chama CCM na kusema kuwa wakina mama wanatakiwa kutokuwa na mambo ya Siri Katika vikundi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 25, 2023
396 views 59 secs

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa Jijini Dodoma leo Julai 25,2023 ambapo amesema mnara utakaojengwa katika uwanja huo wa Mashujaa utakuwa ni mnara mrefu zaidi Afrika. โ€œSiku ya leo ni siku ya tafakuri, sala na dua zaidi na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...