FEATURE
on Jul 11, 2023
350 views 2 mins

Mkurugenzi wa ufundi wa kampuni ya double Eight LTD Marshalo V. Chikoleka Amesema swala la bandari limebeba uchumi wa nchi yetu ya Tanzania ni sehemu ambayo inayoonyesha Kwa miaka yote ni sehemu ambayo ni maarum inayobeba uchumi wetu Kwa kiasi kikubwa sana. Akiyazungumza hayo jijini dar es salaam Leo (jumanne 11 julai 2023) amesema bandari […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 10, 2023
252 views 8 secs

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amepokea vifaa vya michezo kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe.Chen Mingjian ambavyo vitatumika katika Programu ya Michezo Mtaa kwa Mtaa pamoja na Samia Taifa Cup. Vifaa mbavyo Mhe. Chana amepokea ni pamoja na Mipira ya Kikapu 600, mipira ya Wavu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 10, 2023
479 views 3 mins

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa azma ya Serikali ni kuimarisha na kuongeza uwezo kwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili iweze kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kulea vizuri vijana. Kauli hiyo imetolewa leo na Rais Mhe. Dkt. Samia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 10, 2023
557 views 4 mins

Ripoti mpya ya FinScope Tanzania 2023, ambayo ni ya awamu ya tano imezinduliwa Leo Jijini Dar es salaam,ambao utafiti Huo unaangazia hupima mahitaji,upatikanaji na matumizi ya huduma za fedha Tanzania Bara na Visiwani. Ripoti hiyo imezinduliwa Leo Jumatatu ya tarehe 10 Katika ukumbi WA BOT Jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Wizara ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 10, 2023
356 views 2 mins

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inawajali vijana na itaendelea kulinda maslahi yao wakati wote. Mhe.Katambi ametoa wito kwa vijana nchini kuchangamkia fursa zinazotolewa na serikali kupitia programu za kuwawezesha na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 8, 2023
274 views 4 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uwekezaji una faida na kwamba suala hilo siyo kitu kipya. Ametoa kauli hiyo jana jioni (ijumaa,julai 07,2023)wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya bandari mjini Mtwara. Amesema mwekezaji WA kwanza kwenye bandari ya Dar es salaam ambako uwekezaji unapigiwa kelele, mkataba wake ulikuwa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 7, 2023
283 views 35 secs

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametembelea Bandari ya Mtwara ambapo pia amekagua gati mpya yenye urefu wa mita miatatu ikiwa na uwezo wa kuhudumia meli yenye uzito wa hadi tano elfu sitini na tano Ujenzi wa gati hiyo umeiwezesha Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kuongeza uwezo wa kuhudumia shehena katika bandari ya Mtwara kutoka tani laki […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 7, 2023
155 views 4 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inataka kuona wananchi wakipatiwa huduma za afya huko waliko bila kulazimika kuzifuata mbali. โ€œTumejenga vituo vya afya, hospitali za wilaya na sasa tunajenga hospitali kwenye kila Halmashauri ili kusogeza huduma zaidi kwa wananchi. Nia ya Serikali ya awamu ya sita ni kuona wananchi wetu wanapata […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 6, 2023
207 views 2 mins

Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama amewataka watu wote ambao wanania mbaya ya kuichafua nchi yetu wanahitajika kupambana nao bila ya kumuogopa mtu yeyote na pia bila ya kumuonea haya mtu yeyote yule. Aidha amewataka Viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge,pia wameshauriwa kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jul 5, 2023
318 views 40 secs

Kufuatia Kwa kutungwa Kwa Sheria ya mipango ya taifa ya mwaka 2023 pamoja na uamuzi WA kuhamishia Masuala ya uwekezaji Ofisi ya Rais.Hivyo,Rais WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya miundo ya wizara na kufanya uteuzi WA viongozi Kama ifuatavyo. Mhe.Rais Samia Suluhu ameunda Ofisi ya Rais,mipango na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...