FEATURE
on Mar 7, 2025
70 views 2 mins

*Na Charles Kombe, Dar es Salaam* Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, linategemea kuongeza fursa ya kuzalisha umeme kupitia vyanzo mseto kupitia Kongamano la 11 la Petroli la Afrika Mashariki linaloendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC). Hayo yamebainishwa Machi 4 na Meneja Utafiti TANESCO Mha. Samwel Kessy wakati akieleza juu ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
79 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema Sekta ya Mafuta nchini imeimarika* ๐Ÿ“Œ *Ataja miradi ya kimkakati ujenzi wa mabomba ya gesi na mafuta* Kamishna wa Petroli, Goodluck Shirima amesema kuwa, Tanzaniaย  imejipanga vyemaย  kutengeneza sera rafiki zitakazozidi kuvutia uwekezaji kwenye sekta ya Mafuta na Gesi Asilia ambazo zitawezesha pia kupata mitaji ya kuendesha Sekta kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2025
61 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema lengo ni kurahisisha huduma kwa Wananchi* ๐Ÿ“Œ *Afanya mazungumzo na kampuni Rashal Energies inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule-Mbagala* ๐Ÿ“Œ *Aikaribisha kampuni ya CNOOC ya China kushiriki Duru a Tano Vitalu vya Mafuta na Gesi Asilia* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2025
64 views 52 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wananchi Jijini Arusha wamevutiwa na bidhaa mbalimbali za Nishati Safi ya Kupikia na wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa kufikisha bidhaa hizo katika Maonesho yanayoendelea mkoani humo kuelekea Siku ya Wanawake Duniani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti Machi 6, 2025 mara baada ya kutembelea Banda la REA na kushuhudia teknolojia mbalimbali za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2025
62 views 10 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania, TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga amesema umeme ni nishati nafuu zaidi kupikia na kuwahimiza Wanzania kutumia fursa ya uwepo wa umeme katika kila Kijiji na kutumia nishati hii kupikia ambapo watapunguza gharama pamoja na kutunza mazingira. Mha. Gissima ameyasema hayo Machi 4, 2025 katika Kongamano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2025
76 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Viongozi wa Taasisi na Mashirika wanawajibika kuchangia juhudi za Serikali katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kuandaa na kutekeleza mikakati itakayosaidia kupunguza uzalishaji wa gesijoto na kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makamu wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2025
56 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA โ–ช๏ธWatanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini โ–ช๏ธVyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum โ–ช๏ธCanada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini โ–ช๏ธMpango wa Uwezeshwaji wa Vijana na wakina mama waungwa mkono ๐“๐จ๐ซ๐จ๐ง๐ญ๐จ,๐‚๐š๐ง๐š๐๐š Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada *Mh. Ahmed Hussein* na Waziri wa Madini wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2025
80 views 3 mins

๐Ÿ“Meli ya “Le Bougainville yaleta wengine zaidi ya 130. Na Beatus Maganja Meli ya Kifahari ya kitalii ya “Le Bougainville,”  imewasili leo Machi 05, 2025 katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale Kilwa Kisiwani na Songo Mnara Mkoani Lindi ikiwa na jumla ya watalii 133 kutoka Mataifa mbalimbali duniani Kwa ajili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2025
80 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema upatikanaji wa Nishati Afrika bado ni mdogo kulinganisha na Mabara mengine* ๐Ÿ“Œ *Asisitiza uendelezaji wa vyanzo vya Nishati uzingatie mustakabali wa vizazi vijavyo* ๐Ÿ“Œ *Afungua Kongamano na Maonesho ya Petroli kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCEโ€™25)* Makamu wa Rais, Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango amesema kuwa matumizi ya nishati katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 5, 2025
89 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Wapiga Kura wapya zaidi ya Laki sita wanatarajiwa kuandikishwa na Tume. Mkoa wa Dar es Salaam unatajia kuanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa leo Machi 5, 2025 na Mwenyekiti wa Tume Huru […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...