FEATURE
on Mar 3, 2025
73 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kwa kuelekea siku ya wanawake duniani kwa tamko la Beijing linalotimiza miaka 30 Kwa kusheherekea siku ya wanawake duniani Ambapo kilele chake kufanyika siku ya Tarehe 8 Machi Mapinduzi ya Beijing yaliyoanza kufanywa mwaka 1995 Hadi siku ya Leo yanamueka mwanamke kama mtu mwenye mchango sawa na Mwanaume […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 2, 2025
74 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Uzinduzi wa Kitabu cha Samia na Falsafa ya Samialojia kinatarajiwa kuzinduliwa Machi 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anatimiza miaka minne tangu aingie madarakani. Rais Dkt.Samia ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya uongozi wa Rais tangu Tanzania ipate Uhuru Mwaka 1961,ambapo  amekuja na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 2, 2025
71 views 25 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 *Asema inaongeza  kujiamini* 📌 *Asema Wizara ya Nishati inaiishi kaulimbiu ya  Siku ya Wanawake Duniani 2025* Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati,  Bi. Ziana  Mlawa ametoa rai kwa Vijana wa Kike kuwa fedha wanazopata watumie pia katika kufanya uwekezaji hali itakayowajengea uwezo  kujiamini zaidi ikiwemo katika maeneo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 2, 2025
88 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Baraza la Ushauri la Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) limepitisha rasimu ya bajeti yake ya mapato na matumizi ya kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 848 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itakayotoa dira ya utoaji huduma muhimu za kijamii pamoja na matumizi ya mishahara kwa watumishi Akizungumza wakati wa  kuwasilisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 2, 2025
102 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MSEMAJI Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa amesema serikali ina hazina yakutosha ya dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi(ARVs) na kuwatoa  hofu wananchi kuacha kuhifadhi dawa nyumbani. Hayo yamebainishwa leo Machi 1,2025 Jiji Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 1, 2025
91 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *📌 Lengo ni kuyafanya makampuni ya usambazaji mafuta upande wa Kaskazini kutumia Bandari ya Tanga.* *📌 Asema Serikali imeweka mazingira mazuri ya uwekezaji nchini.* *📌Kapinga asema Tanga ni Mkoa muhimu katika sekta ya nishati nchini.* *📌Uwekezaji  huo unaunga mkono na kuchochea matumizi ya  nishati safi ya kupikia.* Rais wa Jamhuri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 1, 2025
83 views 4 mins

Na Mwandishi  Wetu, Zanzibar Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema mchakato  wa uwekezaji katika Bandari  ya Malindi kisiwani Unguja umezingatia na kufuata  vigezo ,sifa na taratibu  za kisheria hadi  kupatikana  Kampuni ya Africa Global Logistic  (AGL) Pia CCM kimesisitiza hili la Bandari  limekwisha  hivyo kimemtaka  Makamu  Mwenyekiti  wa ACT  Wazalendo ,  Ismail Jussa Ladhu,  akatafute jengine […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 1, 2025
66 views 54 secs

Na Mwandishi Wetu MWANAHABARI Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini Wizara ya Nishati, Bi. Anita Ishengoma amesema katika utekelezaji wa majukumu ya kisekta Wizara ya Nishati imetoa fursa za usawa kwa wanawake. Bi. Ishengoma ameyasema hayo katika  kuelekea kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo huadhimishwa kila tarehe 8 Machi ambapo nchini itaadhimishwa kitaifa mkoani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2025
88 views 3 mins

Na Mwandishi Maalum Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM )kimekitaka ACT  Wazalendo  kuacha kueneza upotoshaji na kudai kuwa  Uandikishaji wapiga kura  Mikoa wa Kaskazini ” A” na ‘B’  kuna baadhi ya wananchi hawakuandikishwa. CCM kimekanusha na kusema  wananchi wote  waliokidhi vigezo kwa vya sheria ya Ukaazi  na majina yao yamo kwenye Daftari la Sheha wa shehia, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2025
121 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Dodoma* Imeelezwa kwamba Tanzania ni moja ya nchi katika Bara la Afrika iliyobarikiwa na wingi wa aina mbalimbali za rasilimali madini ambazo zimekuwa kivutio kwa kampuni za uwekezaji kutafuta fursa katika mnyororo wa thamani madini. Hayo yameelezwa leo Februari 26, 2025 na mjiolojia Ambreesh Jha ambaye ni  Mjiolojia Mkuu wa Idara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...