FEATURE
on Feb 21, 2025
74 views 4 mins

Na Lusungu Helela- IRINGA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Iringa huku akiitaka Mikoa mingine kuiga mfano wa Iringa kwenye matumizi bora ya  fedha za Mfuko huo. Mhe.Sangu ametoa  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2025
101 views 3 mins

๐Ÿ“ Zaidi ya Fisi 16 wavunwa. Na Mwandishi wetu, Simiyu. Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa baada ya fisi 16 kuvunwa ikiwa ni hatua muhimu iliyochukuliwa na Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii ya kuhakikisha usalama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 19, 2025
100 views 3 mins

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri,  zimekutana kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamejiri leo Februari 18,2025 jijini Dar es Salaam katika kikao kati ya  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 19, 2025
89 views 4 mins

Na Lusungu Helela- UNGUJA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika kisiwa cha Unguja Zanzibar. Kamati hiyo, imetoa pongezi hizo baada ya kutembelea na kukagua ujenzi wa Ukumbi wa Mitihani na  Dahalia ya wanafunzi wa kike […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 19, 2025
84 views 3 mins

Amuahidi kutembelea mradi wa Julius Nyerere          Na Josephine Maxime- Dar es Salaam              Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko ameagiza Mwanafunzi Mirabelle Msukari na Wenzake wa Shule ya Msingi Sun Rise iliyopo Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ili kujifunza zaidi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 18, 2025
110 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli hiyo haramu, Aidha, katika operesheni hiyo, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 16, 2025
95 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 16, 2025
118 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge yaย  Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia wataliiย  huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotokaย ย  Zanzibar kwenda kutalii katika eneo la Mapango ya Amboni yaliyopo jijini Tanga. Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 16, 2025
81 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassani kupitia Serikali kuendelea kuhakikisha wanatoa elimu kwa watoto wenye mahitaji maalum. Kikwete ameyasema hayo Jana Februari 15, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 16, 2025
83 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Asema amani ya nchi ilindwe kwa wivu mkubwa* ๐Ÿ“Œ*Asisitiza uchaguzi Mkuu wa Oktoba usiligawe Taifa* ๐Ÿ“Œ*Asema Watanzania waendelee kumuombea Rais Samia kwa kazi nzuri anazofanya* ๐Ÿ“Œ *Serikali kuboresha mipango yake kulingana na mahitaji ya dunia* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...