FEATURE
on Feb 14, 2025
92 views 8 mins

Na Lusungu Helela- ARUSHA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,ย  Mhe. George Simbachawene amesema zaidi ya asilimia 40 ya Watumishi wa Umma hawafanyi kazi licha ya kulipwa mshahara kila mwezi. Amesema hiyo ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Tume ya Utumishi wa Umma nchini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 11, 2025
103 views 36 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *๐Ÿ“Œ Asema Serikali imeweka ruzuku kwenye miradi ya umeme Vijijini.* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeweka mwongozo wa gharama za kuunganisha umeme kwa wateja, ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 10, 2025
89 views 2 mins

Na Beatus Maganja Wahenga walisema isiyo kongwe haivushi, lakini leo Kilwa imetuvusha. Hayawi hayawi yamekuwa, leo Tanzania inathibitisha yale yaliyosemwa na wahenga miongo kadhaa pale mji wa kihistoria wenye historia ya kipevu mji wa Kilwa Mkoani Lindi unaposhuhudia mpishano wa meli kubwa za kifahari za Kitalii zilizosheheni watalii kutoka pembe za dunia zikishusha mamia ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 10, 2025
75 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Zanzibarย  naย  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyiย  ameeleza kuwa Serikaliย  inaelewa kwamba utekelezaji wa Sheriaย  kwa uadilifuย  na kuwepoย  kwa mifumo imara ya upatikanaji wa hakiย  ni msingi muhimu katika kujenga na kukuza Imani ya wananchi kwaย  Serikali yao, kuleta amani na utulivuย  katika nchiย  pamoja […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 10, 2025
95 views 35 secs

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Tanzania Bara Stephen Wasira amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu Chama kitaendelea kushika dola kwa wingi wa kura na si mtutu wa bunduki. Pia, amesema CCM imebeba maono na fikra za ukombozi na kwamba itaendelea kuwa wakili wa kuwatetea Watanzania. Wasira aliyasema hayo leo Februari 10, 2025 alipokuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
109 views 3 mins

Na Mwandishi wetu, Bariadi -Simiyu Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe. Simon Simalenga amekemea vikali vitendo vya baadhi ya wafugaji wilayani humo kuchungia mifugo ndani ya Hifadhi hususani Pori la Akiba Maswa huku akisisitiza kuwa wilaya hiyo sio sehemu salama kwa watu wanaofanya ujangili na  wanaovunja sheria, kanuni na taratibu  zilizowekwa kwa ajili ya kulinda […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
115 views 2 mins

๐Ÿ“ Mikakati kamambe ya kutanua wigo wa soko la Utalii  yasukwa Na Beatus Maganja Kamisheni ya Utalii ya Zanzibar na Chama cha waongoza watalii Zanzibar (ZATO) Februari 06, 2025 walifanya ziara maalumu (Fam – Trip) katika Hifadhi ya urithi wa utamaduni wa dunia Magofu ya Kale  Kilwa Kisiwani na Songo Mnara Mkoani Lindi ikiwa ni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
97 views 31 secs

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi  amewahimiza Wafanyabiashara  kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  na kufanya Biashara kwa Uadilifu na kuwa na Huruma  kwa Wananchi. Alhaj Dkt.Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza na  Waumini wa Dini ya  Kiislamu  wa Masjid Jibril Mkunazini alipojumuika katika Sala ya Ijumaa. Aidha Alhaj Dkt.Mwinyi amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
84 views 2 mins

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipitisha taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusu shughuli za kamati hiyo kwa kipindi cha Februari,2024 hadi Januari, 2025 huku likiitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya maboresho katika Sekta ya Maliasili na Utalii. Akizungumza katika Mkutano wa 18, Kikao cha 9 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 8, 2025
100 views 2 mins

๐Ÿ“ Wanafunzi, Walimu waipongeza Serikali. Na  Mwandishi wetu – Simiyu SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Shillingi Millioni 25.9 Kwa shule za sekondari na msingi Mkoani Simiyu hatua inayolenga kuboresha mazingira ya elimu kwa shule zinazozunguka Pori la Akiba Maswa kama sehemu ya ujirani mwema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...