FEATURE
on Jan 12, 2025
123 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 12, 2025
131 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ZANZY Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameshiriki katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 61 ya Mapimduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika Viwanja vya Gombani Kisiwani Pemba, Zanzibar. Mgeni wa Heshima katika Sherehe hizo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 12, 2025
108 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ *Tanzania yawakilishwa na Naibu Katibu Mkuu Nishati, Ajenda ya Nishati jadidifu yajadiliwa kwa kina* ๐Ÿ“Œ *Nchi wanachama watakiwa kubuni miradi  ya Nishati jadidifu rafiki kwa mazingira* Abu Dhabi, UAE Mkutano Mkuu wa Baraza la 15 la Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA) umezinduliwa rasmi mjini Abu Dhabi Falme za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 8, 2025
153 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Tawala wa mkoa wa dar es salaam Toba nguvila Amemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya ubungo waanze mkakati wa haraka sana wa ujenzi wa uzio wa hospital Kwa kutenga fedha za kutosha kwa ajili ya uzio Ameyasema hayo Leo Katika Kuendelea na ziara yake ikiwa ni siku ya pili Kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 8, 2025
203 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Hali ya upatikaji wa barabara na madaraja yafikia 19% Kibaya ,Kiteto WANANCHI wa Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara wameishukuru Serikali kwa kuwapelekea mradi wa ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja ambao utasaidia kufungua uchumi wa wilaya hiyo. Wakizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo wananchi hao wamesema awali […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 7, 2025
179 views 55 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule, amefanya ziara katika mradi wa kihistoria wa Samia Housing Scheme unaotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Kawe, jijini Dar es Salaam. Ziara hiyo ililenga kukagua maendeleo ya mradi huo mkubwa unaolenga kuboresha makazi nchini. Akiwa eneo la mradi, Mkuu wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
112 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa wiki mbili kwa wakandarasi wote nchini waliopata ujenzi wa miradi ya dharura Contigency Emegency Response Component (CERC),kuanza kazi mara moja. Amesema hayo leo wakati akikagua barabara ya Arusha-Holili ambayo iliathiriwa na mvua katika maeneo ya Kwamsomali na King’ori. “Mhe. Rais ametoa zaidi ya shilingi bilioni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
149 views 4 mins

Simanjiro WAKAZI wa Wilaya ya Simanjiro wameipongeza Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kutatua kero ya muda mrefu ya barabara na madaraja wilayani humo. Wakizungumza wakati wa ziara ya waandishi wa habari kutembelea miradi ya ujenzi wa miundombinu wilayani humo wakazi hao wamesema kabla ya ujenzi wa miundombinu hiyo walikuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 5, 2025
97 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA y Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi ya Sayansi za Bahariย  ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ina Mchango Mkubwa katika Mipango na Seraย  zaย  kuendeleza Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za Bahari. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...