FEATURE
on Apr 24, 2025
30 views 3 mins

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo upatikanaji wa maji na nishati ikiwa ni mkakati wa kukabiliana na mafuriko. Amesema moja ya mkakati uliochukuliwa na Serikali ni kuunda mamlaka za mabonde zenye wajibu wa kufanya ufuatiliaji wa mwenendo upitishaji maji na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 24, 2025
28 views 2 mins

Baada ya wanachama wa CHADEMA wanaotokana na kundi linalojitambulisha kama G55 ndani ya chama hicho kuzungumza na waandishi wa habari, tarehe 22 Aprili 2025, na kueleza kukata tamaa kwao kutokana na kile walichokiita kiburi cha viongozi wao, hasa baada ya viongozi hao kushindwa kusaini kanuni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, hali inayowanyima haki […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 23, 2025
39 views 7 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wasanii wa filamu nchini,na wadau wa siasa, Jimmy Mafufu na Chiki Mchoma wamejitokeza hadharani kulaani vikali kauli za baadhi ya wanasiasa wanazodai zinatishia amani ya nchi. Wakizungumza na waandishi wa habari leo, Jimmy Mafufu amesema kuwa baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakitoa matamko yanayohamasisha uasi, jambo ambalo ni hatari kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 23, 2025
33 views 3 mins

▪️ *Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini* ▪️**Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025** ▪️ *Sekta  Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni* ▪️ *Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Madini* 📍 *Dodoma* Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2025
43 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ▪️Asema tusikumbatie tamaduni zinazokwenda kinyume na maadili na ustaarabu ▪️Prof. Kabudi asema sarakasi ni mchezo unaongoza kuliingizia Taifa fedha za kigeni WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana wajibu wa pamoja wa kuhakikisha urithi wa utamaduni wa Taifa unalindwa, unaenziwa na kuendelezwa kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2025
35 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli moja bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/26 yenye takribani Shilingi trilioni 11. 783 kwa ajili ya wizara na taasisi zilizo chini yake. Kwa mujibu wa Waziri Mchengerwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2025
35 views 39 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *📌Taasisi 3000 zaunganishiwa umeme na fedha za Covid 19* Vitongoji 82 ambavyo bado havijafikiwa na umeme katika Wilaya ya Tarime mkoni Mara vitapelekewa umeme kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme Vitongojini Awamu ya Pili B  (HEP IIB) ambapo tayari zabuni ya kuwapata wakandarasi wa mradi huo imeshatangazwa na inatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2025
37 views 43 secs

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea timu ya wataalamu  kutoka Ofisi za Umoja wa Afrika (AUC) wanaoratibu utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma za hali ya hewa wa “Intra-ACP Climate Services and related Applications Programme (ClimSA)”. Ziara hiyo ilifanyika tarehe 17 Aprili, 2025 ikioongozwa na mmoja wa Wasimamizi wa mradi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2025
33 views 37 secs

📌Ni kupitia ruzuku ya bei mitungi ya gesi ya kupikia 📌Gairo yahamasika na nishati safi Wananchi Mkoani Morogoro wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa kuibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia ili kukuza uchumi wa watazania. Pongezi hizo zimetolewa na wananchi wa wilaya ya Gairo kwa wataalam […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 22, 2025
33 views 2 mins

Na Mwandishi wetu, Dodoma WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa. Akichangia bungeni bajeti ya TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Mbunge wa jimbo la Korogwe Vijijini Mhe Timotheo Mnzava […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...