FEATURE
on Dec 23, 2024
119 views 53 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wageni wengi wametembelea eneo la Mnara wa Saa ” *Clock Tower* ”  kwa ajili ya kujionea taswira mbalimbali za wanyamapori pamoja na kupata elimu kuhusu umuhimu wa kijiografia wa eneo hilo. Uwepo wa Taswira za Wanyamapori ambazo zimewekwa na *TAWA* katika eneo hilo limenogesha zaidi kwa kuwavutia wageni wengi wazawa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 20, 2024
121 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa masuala ya uchukuzi ipo katika hatua za kuandaa mapendekezo ya kutunga sheria ya Bodi ya Uchukuzi  kwa lengo la kuwatambua na kuwasajili wana taaluma hao Kauli hiyo imetolewa leo Desemba 20,2024 na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 20, 2024
115 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko asisitiza teknolojia itumike uchakataji zao la ndizi* Dkt. Biteko ahimiza uwekezaji viwanda vya kuongeza thamani mazao ya uvuvi na ufugaji* Kagera yaongoza kwa uzalishaji zao la ndizi nchini kwa asilimia 60* Mradi wa Mashamba Makubwa ya Kahawa Kagera kunufaisha watu 10,000* Wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wamekaribishwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 19, 2024
152 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchemgerwa amesema Serikali kwa kutambua umuhimu wa matumizi ya TEHAMA katika ujifunzaji na kujenga umahiri uliokusudiwa kwenye Mitaala kwa wanafunzi wa Sekondari, katika kipindi cha mwaka 2023/2024, Serikali imetoa jumla ya Shilingi Bilioni 18 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 19, 2024
118 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA I Ashiriki Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini humo Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutana JNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umeme 📍Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na  Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 19, 2024
161 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya Serikali Awahakikishia Watanzania nchi ipo salama. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa  amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 19, 2024
170 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya leo imeteketeza kilogramu 614.12 za dawa za kulevya  katika kiwanda cha saruji cha Twiga, kilichopo Wazo, Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari katika tukio hilo, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo alisema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 17, 2024
125 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha vitendo vya rushwa kwenye Manunuzi* Dkt. Biteko afungua Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi* Ataka wasikilize sauti za watu, kutathimini utendaji kitaaluma* Naibu Waziri Mkuu na  Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wataalam wa ununuzi na ugavi nchini kizingatia misingi ya maadili ya taaluma yao […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 17, 2024
137 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA SERIKALI imeipongeza Kampuni ya ukandarasi kutoka nchini China ya CRJE (East Africa) Ltd kwa ufanyaji kazi uliotukuka huku ikiahidi kuendelea kukuza mahusiano yaliyodumu kwa muda mrefu kati ya Tanzania na China Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro wakati wa uzinduzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 16, 2024
185 views 2 mins

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila amemwakilisha Waziri wa TAMISEMI  kuzindua mafunzo kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa Novemba 27 mwaka huu na kuwataka kufanya kazi yao kwa uadilifu ili kuhakikisha wanakuwa  kiungo bora kati ya Serikali na wananchi kwa kuwatumikia ipasavyo wananchi na kukomesha migogoro ya ardhi katika maeneo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...