FEATURE
on Dec 9, 2024
134 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kulinda afya na kutunza mazingira. Hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2024
151 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza kuongeza ubunifu na kuzingatia maadili ya utumishi wa umma Awataka kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa maadili Wizara ya Nishati yaipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi Watumishi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wametakiwa  kufanya kazi kwa uadilifu, ubunifu, juhudi, maarifa na upendo ili kuendana na kasi ya Serikali ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 7, 2024
130 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) leo imepokea ziara ya Naibu Waziri Msaidizi  ( Deputy Assistant Secretary,  Bureau of International  Narcotics And Law Enforcement) wa Shirika la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), Maggie Nardi, pamoja na ujumbe wake. Ziara hiyo imelenga kuipongeza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 6, 2024
137 views 9 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa maagizo mazito baada ya kukutana na kuzungumza na wananchi wa jamii ya Kimasai wa Ngorongoro. Moja kati ya maagizo hayo ni kuundwa kwa tume ya malalamiko itakayobeba kero na changamoto zinazowakabili wananchi hao baadhi yao waliokuwa wakihama kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 6, 2024
143 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesemakuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo  kwenyemipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiyaya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi  hizo kutumiaumeme kwa ufanisi na hivyo kupunguza upotevu wa umeme. Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 6, 2024
241 views 22 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kufuta sherehe za miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara na badala yake fedha zilizotengwa zitumike kusaidia huduma za kijamii. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa fedha zilizotengwa katika kila taasisi kwa ajili ya maadhimisho hayo zielekezwe katika kutoa huduma za kijamii, huku akieleleza kila […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 6, 2024
138 views 58 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba alizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Desemba 04, 2024 mkoani Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024. Jaji Warioba awataka vyama vya upinzani kuacha malalamiko dhidi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani ni dhahili kwamba […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 6, 2024
126 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ni katika Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati (REEC 2024) Dkt. Jafo asema maendeleo ya Viwanda yanategemea uwepo wa Nishati ya kutosha Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati uliohusisha Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliomalizika leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 6, 2024
220 views 2 mins

Na Kassim Nyaki NCAA Kufuatia Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) kuzindua msimu ya kampeni ya kuhamasisha utalii kwa wananchi kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka vijana wa Action Rollers Skates wako katika mitaa mbalimbali ya jiji la Arusha kutangaza kampeni hiyo. Vijana hao ni sehemu ya njia mbalimbali zinazotumiwa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 5, 2024
92 views 45 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katika kuadhimisha kumbukumbu ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika, Bodi ya Utalii Tanzania – TTB kupitia Kampeni ya “TWENZETU KILELENI” inapeleka Tuzo za ubora katika paa la Afrika, Tuzo zilizotolewa na World Travel Award, TTB imeshinda kama Bodi Bora Barani Afrika kwa miaka mitatu mfululizo (2022,2023 na 2024), zoezi hili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...