FEATURE
on Apr 16, 2025
48 views 2 mins

Bunda, Mara ๐Ÿ“ŒAmtaja kuwa ni hazina kubwa katika utekelezaji wa miradi ya umeme ๐Ÿ“ŒAsema atakumbukwa kwa mchango wake wa kuwaunganisha wafanyakazi TANESCO. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dokta.Doto Biteko leo Aprili 16,2025 ameongoza maelfu ya wananchi pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli ya maziko ya aliyekua Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2025
46 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu, Mwanza NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali ya nchi kwani zina mchango mkubwa kwa taifa. Ameyasema hayo leo Aprili 16, 2025 wakati akifungua Mdahalo wa Kitaifa ulioandaliwa na Media Brains kwa kushirikiana na Kituo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2025
38 views 1 sec

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira amekutana na Kadinali Rugambwa leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki Tabora akiwa katika ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2025
37 views 3 mins

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili  kujiridhisha  kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa ametoa maelekezo hayo  leo Aprili 16, 2025 mara baada ya kuwasili mkoani Lindi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2025
33 views 2 mins

OR-TAMISEMI OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)  imewasilisha bungeni makadirio ya mapato kwa mwaka 2025/26 yenye takribani Shilingi trilioni 11. 783 kwa ajili ya wizara na taasisi zilizo chini yake. Bajeti hiyo imeongezeka kutoka Shilingi trilioni 10.125  zilizotengwa mwaka 2024/25 hadi kufikia Shilingi trilioni 11.783 na kuwa na ongezeko la   […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 16, 2025
45 views 3 mins

Morogoro, Tarehe 15/04/2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imepongezwa kwa uboreshwaji wa utabiri wa hali ya hewa na taarifa za tahadhari za matukio ya hali mbaya ya hewa nchini. Hayo yamesemwa na Mhe. Dkt. Rozalia Rwegasira,  Kaimu Katibu Tawala Mkoa, sehemu ya uchumi na uzalishaji wa mkoa wa Morogoro wakati wa ufunguzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 15, 2025
48 views 2 mins

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam CHAMA Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kimesema hafla ya utoaji tuzo za uandishi wa habari za maendeleo, maarufu kama Samia Kalamu Awards itafanyika April 29 mkoani Dodoma. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mkurugenzi Mkuu wa TAMWA Dk. Rose […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 15, 2025
44 views 3 mins

๐Ÿ“Wakiri uhifadhi kuwa na manufaa. Na Mwandishi wetu, Lindi. Miradi ya ujenzi wa madarasa mawili yenye thamani ya shillingi millioni 60  katika kijiji cha Ngumbu wilaya ya Liwale mkoani Lindi inayotekelezwa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA chini ya ufadhili wa ushirika wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 14, 2025
37 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Awaeleza jinsi Serikali ya Rais Samia inavyoitekeleza kwa vitendo Dhana ya Utawala Bora ili kustawisha Jamii._ Afisa Tarafa (Gavana) wa Tarafa ya Katerero Ndugu Bwanku M Bwanku alikua mmoja wa Watoa mada kwenye Sherehe ya Uzinduzi wa Wiki ya Wazazi kwenye mkoa wa Kagera wakati wa Kongamano kubwa la Maadili lililofanyika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 14, 2025
59 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA Imesema kuanzia Tarehe 1 Mei 2025 inawafungia matumizi ya Namba Kwa wale ambao hawajajitokeza kuchukua vitambulisho vyao Angali wametumiwa meseji Katika simu zao. Ameyasema hayo Leo 14 April 2025 Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA James Wilbert Kaji Amesema dhamira […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...