FEATURE
on Apr 14, 2025
33 views 3 secs

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya Petroli Zanzibar (ZPDC) ambapo kupitia ushirikiano huo masuala mbalimbali yamekuwa yakifanyika kuiendeleza Sektaย  ikiwemo kubadilishana ujuzi na utaalam. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 14, 2025
39 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu, Lindi Wananchi wa Kijiji cha Nditi, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wameanza kuona manufaa ya vituo vya Askari wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), wakisema kuwa hatua hiyo imechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza uvamizi wa wanyamapori wakali na waharibifu, hususan tembo. Wakizungumza Aprili 13, 2025 katika mkutano wa elimu kuhusu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 12, 2025
40 views 2 mins

Dodoma, 12 Aprili 2025, Katika hatua muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Katibu Mkuu wa Chama cha National Liberation for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo, leo amesaini Kanuni ya Maadili ya Uchaguzi katika hafla rasmi iliyofanyika jijini Dodoma. Tukio hilo limehusisha viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa, maafisa kutoka Tume Huru ya Taifa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 12, 2025
45 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Hospital ya Amana yapata Tuzo ya mshindi wa kwanza Katika hutoaji huduma Bora Kwa jamii Kwa hospital zote 28 za rufaa za mikoa Ameyasema hayo 11 April 2025 Katibu Tawala wa mkoa Dkt Toba Nguvila wakati akipokea Tuzo hiyo Katika hospital ya Amana Jana na kusema kuwa Napongeza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 9, 2025
53 views 43 secs

*๐Ÿ“Œ Majimbo yaendelea kufaidika na mradi wa  umeme wa Vitongoji 15.* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka  umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara na  nguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji. Mhe. Kapinga  ameeleza kuwa, pamoja na kazi ya kupeleka umeme vitongojini inayoendelea sasa,  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 9, 2025
54 views 2 mins

Na. Lusungu Helela – Dodoma. Kaimu  Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Xavier Daudi amewatakaย Wajumbe wa Kamati za Ushauri za Ajira za Raia wa Kigeni katika Utumishi wa Umma kuhakikisha wanalinda taswira ya nchi kimataifa kwa kuyafanyia kazi na kuyawasilisha maombi hayo ya ajira za raia wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2025
52 views 2 mins

Mawasiliano ya Barabara Somanga – Mtama yameanza kurejea kwa hatua katika barabara iendayo mikoa ya Kusini tangu leo alfajiriย  baada ya wataalamu wa Wakala wa Barabara (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana kurekebisha eneo la Somanga na Matandu lililoharibiwa na mvua na kufanya njia isipitike. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ambaye ameweka kambi katika eneo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2025
46 views 3 mins

๐Ÿ“Œ *Wachimbaji wa chumvi pia wafikiwa* *๐Ÿ“Œ Wananchi Kibiti wampongeza Rais Samia kwa mradi wa umeme wa zaidi ya shilingi Bilioni 3.8.* *๐Ÿ“Œ Kituo cha umeme Uhuru wilayani Urambo chakamilika* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea na utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme kwenye maeneo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 8, 2025
53 views 5 mins

NA MWANDISHI WETU CHAMA cha Wananchi (CUF) kimetaka Hotuba za Bajeti mwaka huu zichambue sababu za kutofanikisha malengo ya Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 6, 2025 na Mwenyekiti wa Chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba Wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juu ya mtazamo wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...