FEATURE
on Jun 26, 2024
292 views 25 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA ARUSHA Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda, amebainisha kuwa tangu kuanzia kwa kambi ya madaktari bingwa na wabobezi mkoani humo siku ya tarehe 24 Juni, 2024 na hadi kufikia jana tarehe 25 Juni, 2024 tayari jumla ya watu 6434 wamehudumiwa vema na kupatiwa na kusema kulingana na takwimu za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 26, 2024
317 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Ni kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara kupitia TPDC DKt  Biteko afungua rasmi, aishukuru PAC kwa mchango wao sekta ya Nishati Waitaka TPDC kuwekeza kwa kutumia fedha za ndani na sio kutegemea wafadhili pekee    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza kamati ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 26, 2024
288 views 2 mins

Na Happiness Shayo DODOMA Tanzania imeweka rekodi kubwa ya Kimataifa kwa mieziย  ya Januari hadi Machi 2024 kwaย  kushika nafasi ya 5 kwa nchi ambayo imeweza kuvutia watalii zaidi duniani na nafasi ya kwanza Barani Afrika kwa kuvutia watalii kimataifa, kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism). Hayo yamesemwa na Waziri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 26, 2024
367 views 2 mins

-RC chalamila apongeza kitengo cha mawasiliano Serikalini kwa kupatiwa tuzo ya ushindi -Atoa maelekezo mahususi kuboresha utendaji kazi wa kitengo hicho Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 25,2024 amekabidhi tuzo na cheti cha ushindi kwa kitengo cha mawasiliano serikalini kupitia katibu Tawala wa Mkoa huo Dkt Toba Nguvila tuzo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 25, 2024
376 views 2 mins

Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeelezea Mipango yake ikiwemo kuendelea kuwawezesha Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini, huku msisitizo ukiwekwa kwenye ununuzi wa mitambo na huduma za uchorongaji ili kuwasaidia kupata taarifa za miamba, hatimaye wachimbe kwa tija. Hayo yalielezwaย  Juni 24, 2024 na Meneja Uwezeshaji Uchimbaji Mdogo kutoka STAMICO Bw. Tuna Bandoma kwenye Wiki […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 24, 2024
237 views 6 secs

Asisitiza Serikali itaendelea kushirikiana na wawekezaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Modern Industrial Park wanaomiliki kongani ya viwanda eneo la Kibaha, Mkoani Pwani. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 24 Juni, 2024 katika ofisi za Naibu Waziri Mkuu Bungeni, jijini Dodoma. Aidha, Dkt. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 23, 2024
280 views 3 mins

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) amezindua rasmi Ripoti za Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi na Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022. Amezindua ripoti hizo leo Juni 22, 2024 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 21, 2024
246 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuongoa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikishaย  lengo la kuongoa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 21, 2024
386 views 2 mins

Na MWANDISHI WETU WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Aitaka Jamii kuacha kushabikia vitendo vinavyodharirisha utu wa binadamu -Asema mtoto anasitahili kulindwa na kupatiwa haki yake -Atoa rai kwa jamii kuacha tabia za kibaguzi kwa watoto wenye ulemavu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 20,2024 ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Mtoto […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 21, 2024
583 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Ataja umuhimu wa kampeni hii kwa wananchi wa Dsm -Asema Madaktari Bingwa na Wabobezi katika taalum mbalimbali ni sehemu ya kampeni hiyo na  ataja huduma zitakazotolewa -Aainisha Ratiba ya Upimaji Afya katika ngazi za Wilaya zote -Awashukuru wadau wote waliowezesha kampeni hiyo -Kwa upande wake Dr. Mohamedi Mang’una […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...