FEATURE
on Jun 20, 2024
305 views 4 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA KIGOMA Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili vikaweze kutumika maeneo mengine nchini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegeke wakati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 19, 2024
380 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA *📌 Upatikanaji Nishati Safi ya Kupikia kufika hadi ngazi ya Kaya* *📌Asisitiza kuisukuma ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia* *📌Asilimia  80 ya Watanzania  kutumia Nishati Safi ifikapo 2034* *📌Serikali kuendelea kushirikiana na UNCDF NA EU* Imeelezwa kuwa, Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) na Washirika wengine wa Maendeleo wamekuwa msaada mkubwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 19, 2024
271 views 26 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Sakata la tuhuma za harufu ya ufisadi na rushwa katika vibari vya sukari lililoibuliwa na Mbunge wa kisesa Luhaga Mpina limeendelea kuzua mjadala na kuwaibua watu wa kada mbalimbali kuzungumzia sakata hilo, Mchambuzi wa maswala ya uchumi na siasa Kassim Kibao ameibuka na kuzungumza na waandishi wa habari […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 19, 2024
251 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Ahimiza umuhimu wa ushirikishwaji wa Wafanyakazi* 📌 *Awataka Wakuu wa Idara na Vitengo kutoa fursa  kwa Maafisa* 📌 *Asisitiza motisha kwa wanaofanya vizuri* 📌 *Dkt. Mataragio asisitiza ushirikiano na kuzingatia muda* Katibu Mkuu wizara ya  Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba  leo 18 Juni, 2024 amekutana na  Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati  […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 18, 2024
206 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Vituo vya kupoza umeme kujengwa kuimarisha usambazaji umeme* 📌 *Taasisi zapewa kipaumbele miradi ya usambazaji umeme* DODOMA Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia  Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) inatekeleza Mradi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo Mkubwa wa Kilovolti 400 wa  Tanzania na Zambia (TAZA) kupitia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 18, 2024
356 views 3 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 *Nishati Safi ya Kupikia yapigiwa chapuo* 📌 *Wananchi wafurahia kuuona mradi wa JNHPP kupitia kifaa cha Uhalisia Pepe* 📌 *TANESCO yatoa huduma moja kwa moja ikiwemo ya Nikonekt* 📌 *Wananchi wajulishwa haki zao kupitia EWURA CCC* Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zilizo chini yake imeshiriki kwa  mafanikio katika  Maadhimisho […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
290 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Benki ya Akiba imesema itaendelea kuunga mkono serikali kwa kutoa elimu ya fedha huku ikiboresha huduma zake nchi nzima ili kusaidia kuwafikia wananchi wengi zaidi na kuchochea  kukua kwa  uchumi wa Taifa. Ameyasema hayo Juni 14 ,2024 Jijini  Dodoma  Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Akiba Bw Silvest Arumasi wakati wa kuhitimisha    […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
323 views 35 secs

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Atoa salamu za Mkoa,asema utulivu ulioko katika Mkoa unatokana na viongozi wa Dini Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Juni 17,2024 ameshiriki swala ya Eid Al-Adha Kitaifa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI Kinondoni Jijini humo ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
384 views 2 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM MCHAMBUZI wa Masuala ya Kisiasa na Kijamii Dkt. Dennis Muchunguzi amemshangaa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuzungumzia maelezo yake aliyoyapeleka kwa Spika juu ya sakata la uagizaji Sukari, kabla ya Spika na Bunge kutoa kauli. Hivi karibuni Bungeni jijini Dodoma Mbunge wa Kisesa kwa Tiketi ya Chama cha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jun 17, 2024
212 views 6 mins

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA 📌 Dkt. Biteko aagiza Wizara ya Mifugo kuendelea kutoa elimu ufugaji wa kisasa 📌Wafugaji wahimizwa kushiriki maonesho ya mifugo kuboresha ufugaji wao 📌 Wafugaji  na wakulima waaswa kuondokana na migogoro 📌 Wafugaji watakiwa kutumia Maafisa Ugani kwa ufugaji wa tija *Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati* Naibu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...