FEATURE
on Mar 29, 2025
50 views 6 secs

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene Isaka amewataka watumishi kuendeleza maombi na kutenda matendo mema kupitia Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na Kwaresima ambayo kwa mwaka huu imewaunganisha waumini wa madhehebu ya Kikristu na Waislam. Amesisitiza hayo jana Jijini Dodoma wakati wa futari iliyoandaliwa na Mfuko na kuhudhuriwa na Watumishi wa Makao Makuu na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
58 views 2 mins

-Asema Rais Samia ametoa  mkono wa kheri ya Eid Ul-Fitr kwa watoto wenye uhitaji kutoka katika makao mbalimbali ndani  ya Mkoa huo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amekabidhi Sadaka ya vyakula iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye vituo mbalimbali vya makao ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
55 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu SERIKALI inataka faida itokanayo na uwekezaji katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia zaidi ya 10 mwaka ujao wa fedha Dhamira hiyo ilielezwa Ijumaa, Machi 28, 2025, na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka wilayani Kibaha, mkoani Pwani, wakati wa kufunga mkutano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
66 views 3 mins

Na. Mwandishi Wetu- Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu kusafiri hadi jijini Dodoma Sekretarieti ya Ajira kufuata […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
48 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌Kampeni inalenga kuelimisha watoto kuzingatia usalama kwanza watumiapo umeme. 📌Itasaidia Kupunguza athari na ajali zitokanazo na majanga ya umeme kwenye Mikoa hiyo. Shirika la Umeme Tanzania  (TANESCO) Machi 27 limeanza kampeni maalumu ya kuelimisha juu ya kuzingatia usalama kwanza kwenye matumizi ya Umeme kwa Makundi ya watoto katika shule mbalimbali za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 29, 2025
45 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Dkt. Biteko atoa mabati 300 ujenzi wa darasa Chuo cha Mafunzo 📌 Magereza yapongezwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia 📌 Dkt. Samia apongezwa kwa kuimarisha vyombo vya ulinzi na usalama Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 27, 2025
45 views 2 mins

• _*Watanzania kujengewa uwezo kwenye kada ya Jiosayansi na Utafiti wa Madini*_ 📍 *Seoul, Korea Kusini.* Wizara ya Madini kupitia Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini (GST) na Taasisi ya Jiosayansi na Rasilimali Madini ya Korea Kusini (KIGAM) zimetia saini Hati ya Makubaliano (MoU) ya kufanya tafiti za pamoja za Jiosayansi. Hafla hiyo ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 26, 2025
70 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA • _*TGC yasaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Kampuni ya Sunset Gem ya Thailand kuhaulisha teknolojia mpya*_ 📍 *Dodoma* Katibu Mkuu Wizara ya Madini Mhandisi Yahya Samamba amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Madini imedhamiria kukuza sekta ya madini kwa kuhakikisha madini yanachakatwa na kuongezwa thamani hapa nchini badala ya kusafirishwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 26, 2025
55 views 3 mins

📍 *Seoul, Korea Kusini* Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amesema kuwa kutokana na kuongezeka kwa mahitaji na matumizi ya Madini Muhimu duniani, Tanzania ina dhamira ya dhati ya kuendeleza Sekta ya Madini ikiwa ni pamoja na Madini Mkakati hapa nchini kwa kuimarisha ushirikiano na Nchi ya Korea ya Kusini kwa lengo la kuleta […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...