FEATURE
on May 4, 2024
355 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya  maendeleo. ya kilimo  (TADB) imetoa  mafunzo ya mikopo kwa wataalamu wa kilimo nchini ikiwa na lengo Mahususi la kuweza kuhudumia watu mbalimbali Katika huduma za kilimo huku washiriki kutoka Burundi wameweza kushiriki Katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Benki ya kilimo kwa kushirikiana na Benki mbalimbali nchini. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 3, 2024
293 views 11 secs

JIJINI DODOMA Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) amesema lengo la Wizara kuweka maonyesho katika viwanja vya Bunge ni kuonesha Umma mabadiliko chanya ambayo  Wizara imekuwa ikiyafanya katika Sekta ya Kilimo kuanzia katika ngazi ya tafiti mpaka katika ngazi ya uwekezaji ya kuongeza thamani ya mazao. “Tunaonesha watu namna ambavyo tunaendesha Sekta ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 3, 2024
269 views 0 secs

JIJINI DODOMA Wizara ya Kilimo imehitimisha bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma kwa kishindo kikubwa. Bajeti hiyo ya zaidi ya shilingi Trilioni 1.24 inatajwa kubeba matumaini ya mamilioni ya wakulima na watanzania wote kwa ujumla Akiwasilisha bajeti hiyo, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema malengo ya Serikali ya Awamu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 3, 2024
314 views 3 secs

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha matumizi ya  ya Shilingi trilioni 1.24 kwa ajili ya Wizara ya Kilimo katika mwaka 2024/2025 kwa ajili ya  utekelezaji   wa mipango mbalimbali iliyoainishwa ili kuendelea kukuza Sekta ya Kilimo nchini. Kwa mujibu wa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema Wizara imeongeza kipaumbele kimoja na hivyo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 3, 2024
481 views 18 secs

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2024  amekutana  na Mwenyekiti  wa Kamati Tendaji  ya Taasisi ya Huduma za Aga Khan, Mwana wa Mfalme Bi. Zahra Aga Khan na ujumbe wake, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Mheshimiwa Waziri Mkuu amemwambia Kiongozi huyo kuwa Serikali inatambua jitihada kubwa zinazofanywa na Taasisi hiyo hasa katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 3, 2024
374 views 48 secs

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alipata nafasi ya kupita katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilisha Bajeti ya Kilimo, jana Mei 02, 2024. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu ya ‘FROM LAB TO FARM 2024’ yamelenga kuonesha jinsi ubunifu na teknolojia za kisasa zinavyoweza kuchochea maendeleo kwenye Sekta […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 2, 2024
262 views 5 mins

Azindua Kituo cha Matibabu ya Saratani cha Aga Khan* Ataka utoaji huduma usiwe wa kibaguzi* Aelekeza Aga Khan kushirikiana na Taasisi ya Ocean Road kutoa huduma za mionzi* Dkt. Samia atoa sh. Bilioni 10 kusomesha Madaktari Bingwa na Wabobezi wa  Saratani* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema  Serikali itaendelea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 2, 2024
279 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kumekuwa na  Changamoto ya mfumo wa maisha Katika jamii watu wengi huwa wana matumizi ya madawa ya kulevya na wengine kuwa na msongo wa mawazo pamoja na kuongezeka kwa vitendo vya unyanyasaji na  Unyanyapaaji kwa watu mbalimbali kumechangia kuongezeka kwa matatizo ya Afya ya Akili hasa kwa Vijana. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 2, 2024
500 views 24 secs

JIJINI DODOMA Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025, amesema wizara yake itaendelea kuwezesha upatikanaji wa ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye kilimo kupitia utekelezaji wa Programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (Building a […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 2, 2024
278 views 29 secs

JIJINI DODOMA Imeelezwa kuwa uzalishaji wa mazao asilia katika mwaka 2023/2024 umeongezeka kutoka tani 1,123,477.92 mwaka 2022/2023 hadi tani 1,260,321.1 sawa na asilimia  78.05 ya lengo la kuzalisha tani 1,614,758. Hayo yamesemwa na Mhe. Hussein Bashe wakati wa uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Kilimo leo Tarehe 02.05/2024 Jijini Dodoma ambapo amesema  ongezeko hilo limechangiwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...