FEATURE
on May 2, 2024
238 views 30 secs

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amewasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025 ambapo katika hotuba yake amesema katika mwaka ujao wa fedha, Wizara itaendelea kutekeleza vipaumbele vitano (5) vya mwaka 2023/2024 kwa kukamilisha miradi iliyoanza mwaka 2022/2023, 2023/2024 na kuanza miradi mipya. Waziri Bashe amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 2, 2024
339 views 23 secs

“Sekta ya kilimo katika mwaka 2023 imekua kwa asilimia 4.2 kutoka asilimia 2.7 ya mwaka 2021 na imechangia asilimia 26.5 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, vilevile imetoa ajira asilimia 65.6 imechangia asilimia 65 ya malighafi ya viwanda na kuendelea kuchangia asilimia 100 ya upatikanaji wa chakula,” – @HusseinBashe Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 2, 2024
336 views 37 secs

JIJINI DODOMA Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025 amesema kuwa uzalishaji wa chakula kwa msimu wa kilimo wa 2022/2023 ulitosheleza mahitaji ya chakula ya tani 16,390,404 kwa mwaka 2023/2024 na kuwepo kwa ziada ya tani 4,011,611. Amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 2, 2024
398 views 33 secs

โ€œSekta ya Kilimo katika mwaka 2023 ilikua kwa asilimia 4.2 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 3.3 mwaka 2022. Vilevile, Sekta ya Kilimo imechangia asilimia 26.5 katika Pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, imetoa ajira kwa wananchi kwa wastani wa asilimia 65.6 na kuchangia asilimia 65 ya malighafi za viwanda.โ€ Mhe. Hussein Bashe […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 1, 2024
370 views 2 mins

*Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani GST yatoa Mshindi* Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi Duniani kote wameungana kwa pamoja kusheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo leo Mei 01,2024 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewafurahisha watumishi wa Umma kwa kuonesha nia ya Serikali ya kuendelea kuwapandisha madaraja, kuendelea […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on May 1, 2024
284 views 24 secs

Chama Cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) leo April 30, 2024 wametembelea Makuyuni Wildlife Park iliyopo wilaya ya Monduli katika mkoa wa Arusha kwa lengo la  kujifunza Uhifadhi wa wanyamapori na kujionea shughuli za Utalii. Ziara hii ya mafunzo imefanyika ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa  _”Tuhifadhi Maliasili”_ unaoratibiwa na Chama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 30, 2024
243 views 2 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni (OCD), Mohamed Senkondo, kumshikilia Meneja Mradi wa Kampuni ya China Railway Seventh Group (CRSG), anayetekeleza ujenzi Daraja la Mpiji Chini (mita 140) pamoja na barabara unganishi (km 2.3), ahojiwe ili kuanza kuchukuliwa hatua kwa kuchelewa kuanza ujenzi wa daraja hilo na barabara unganishi. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 30, 2024
322 views 14 secs

Hii ndio hali halisi ya maandamano yaliyogonga mwamba baada ya wananchi wa Moshi kususia wito wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, kadhia hii imepelekea aliyekuwa mgeni rasmi Ndugu Freeman Mbowe kutoshuka ndani ya gari kwa hasira akilaumu uongozi wa Mkoa kwa kushindwa kushawishi watu wengi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinapitia wakati mgumu katika mikutano […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 29, 2024
187 views 3 mins

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe Kingโ€™ombe na Mkuu wa Kivuko cha Magogoni – Kigamboni, Idd Stamili Juma kwenye nafasi zao na kuagiza kupangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kusimamia kikamilifu huduma bora kwa wananchi wanaotumia usafiri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 29, 2024
288 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali tayari imeshampata Mkandarasi na kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kibada – Mwasonga – Kimbiji yenye urefu wa kilometa 41 kwa kiwango cha lami. Aidha, Bashungwa ameeleza kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kuongezwa kwa ujenzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...