FEATURE
on Apr 28, 2024
292 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA PWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS Mikoa yote kuendelea kufanya ukaguzi wa madaraja na makalvati pamoja na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 27, 2024
195 views 3 secs

Kilimanjaro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza  paipu kalavati  kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika  wakati wa mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Meneja wa TARURA mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Nicholas Francis amesema tayari wamepokea fedha za dharura takriban milioni 477 kwaajili ya kununua vifaa vya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 27, 2024
245 views 3 mins

Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu* Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania na Miongozo Iliyowekwa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi hususan shule binafsi ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Akizungumza katika Mkutano Mkuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 27, 2024
335 views 24 secs

NGARA Upo umuhimu mkubwa kwa wananchi kuzitunza barabara pamoja na alama za barabarani ili kuzifanya barabara kuwa salama kwa watumiaji wakati wote, imeelezwa. Hayo yamebainishwa na Meneja wa  Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Ngara Mkoani Kagera Mhandisi Makoro Magori wakati akielezea mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 26, 2024
409 views 46 secs

Zikiwa zimesalia siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, tumekuletea nukuu 3 za Rais Samia alipozungumza katika majukwaa tofauti juu ya umuhimu wa Tanzania kujitosheleza katika uzalishaji wa Mbegu na Miche bora 1. “Serikali imeviboresha vituo  vya utafiti na mashamba ya uzalishaji mbegu kutokana na kujiingiza kwenye masuala ya uzalishaji mbegu za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 26, 2024
422 views 13 secs

Zikiwa zimebaki siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 inayosubiriwa kwa shauku kubwa na wakulima nchini, tumekuandalia makala fupi uweze kufahamu faida za matumizi ya mbegu na miche bora katika kilimo cha kisasa na chenye tija 1. Matumizi ya Mbegu na Miche bora husaidia mazao kustahimili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 26, 2024
339 views 43 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyiย  ameipongeza Jumuiyaย  yaย  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa waliyoifanya kuwaletea maendeleo wanawake na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuandaa mdahalo wa wanawake na Muungano. Pia, ameupongeza umoja huo kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 25, 2024
238 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu DODOMA 95.28% kuelekezwa kwenye maendeleo* Serikali kuja na Kanuni ya Uwajibikaji kwa wananchi Miradi ya Mafuta na Gesi Asilia* Dkt. Biteko aagiza Halmashauri kupeleka fedha za Ushuru wa Huduma vijijini* Masharti ufunguzi wa vituo vya CNG yarekebishwa kuvutia uwekezaji* Kapinga atilia mkazo utekelezaji Nishati Safi ya Kupikiaย  na CNG* Bunge la Jamhuri […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 25, 2024
358 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM -Tamasha kubwa kufanyika April, 25, 2024 katika viwanja vya Tanganyika Peckers Kinondoni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo April, 24, 2024 akizungumza na vyombo vya habari Ofisini kwake amesema Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafikisha miaka 60 ifikapo ijumaa April 26 mwaka huu, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 24, 2024
255 views 2 mins

-Akuta Madaktari waliopo kwenye mafunzo (internship doctors) katika maeneo mengi aliyotembelea -Ajionea Daftari la msamaha (exemption) lililopo Mwananyamala kuwa na mapungufu -Aahidi kufanya ziara Kama hizo Mara kwa Mara katika Hospitali hizo -Asisitiza Kuwachukulia hatua wazembe wote -Wagonjwa waelezea kuridhishwa na huduma -Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa akiri kupokea maelekezo na kuahidi kuyafanyia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...