MICHEZO
April 28, 2025
23 views 30 secs 0

“HII NI OPARESHENI YA NCHI NA NDIO KAZI TULIYOTUMWA NA DKT. SAMIA “-MHE. MWINJUMA BAADA YA SIMBA SC KUTINGA FAINALI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA AFRICA KUSINI Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa Serikali iko bega kwa bega na vilabu vya mpira wa miguu kuhakikisha michezo nchini inapata hadhi inayostahili. Mhe. Mwinjuma amesema hayo wakati akiwapongeza Simba SC baada ya kufuzu kutinga fainali ya kombe la Shirikisho la Afrika […]

BURUDANI, MICHEZO
April 26, 2025
21 views 53 secs 0

MAAFISA WA UTAMADUNI NA MICHEZO WASHIRIKI BONANZA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa, Watendaji wa Wizara hiyo pamoja na Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania, wameshiriki bonanza katika Uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam leo Aprili 26, 2025. Bonanza hilo limehusisha michezo mbalimbali ikiwemo kufukuza […]

MICHEZO
April 25, 2025
37 views 52 secs 0

SERIKALI BEGA KWA BEGA NA SIMBA SC AFRIKA KUSINI MPAKA ITINGE FAINALI YA CAF

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa, Serikali imeendelea kuwapa ushirikiano klabu ya Simba ili kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili na kwenda fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mhe. Mwinjuma ameyasema hayo April 25, 2025 jijini Johannesburg Afrika Kusini,  kwenye tukio la Simba SC […]

MICHEZO
April 22, 2025
29 views 26 secs 0

MAGEUZI MAKUBWA YA SANAA KWA KIPINDI KIFUPI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ametoa wito kwa viongozi na jamii kuunga mkono safari ya mageuzi kwenye kazi za sanaa kwani inaleta matumaini makubwa. Mwinjuma ameeleza hayo wakati wa Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania, Aprili 22, 2025 […]

MICHEZO
April 19, 2025
34 views 12 secs 0

MALIASILI SC YAIHUKUMU MAHAKAMA 28–18

  Na Sixmund Begashe Timu ya Mpira wa Pete ya Wanawake ya Wizara ya Maliasili na Utalii imeifunga vikali Timu ya Wanawake ya Mahakama kwa mabao 28 kwa 18 katika mchezo uliochezwa leo kwenye uwanja wa michezo wa VETA, mkoani Singida. Akizungumza mara baada ya mchezo huo uliovutia mashabiki wengi, Bi. Getrude Kassara, Mratibu wa […]

MICHEZO
April 17, 2025
39 views 3 mins 0

MBIO ZA RUN FOR BINTI KUREJEA TENA MEI 24 MWAKA HUU

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA LSF kwa kushirikiana na Shirika lisilo la kiserikali la Smile for Community (S4C) leo limetangaza rasmi msimu wa nne wa mbio za Run for Binti zinazotarajiwa kufanyika tarehe 24 Mei 2025 katika viwanja vya Farasi, Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mbio hizi hufanyika kila mwaka kwa lengo la […]

MICHEZO
April 14, 2025
36 views 2 mins 0

MAKALLA: TIMU YA NAMUNGO IMECHANGIA KUKUZA UCHUMI NA UTALII WA MICHEZO RUANGWA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *• Kuchangia Namungo ni hiari msirudi nyuma ichangieni* *•Apongeza  jitihada za Rais kukuza michezo na timu kuwa na uwanja kisasa* LINDI: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema wasichoke kuichangia timu ya Namungo inapohitajika, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta […]

MICHEZO
April 14, 2025
40 views 36 secs 0

KOMBE LA SAMIA CUP KUWASILI ZANZIBAR

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib mhe, Idrissa Mustafa Kitwana amempongeza Mkurugenzi wa Taasisi ya Twende na Mama kwa maono ya kuanzisha  Mashindano ya Dkt Samia & Dkt Mwinyi Cup katika kusapoti jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuimarisha michezo nchini. Mheshimiwa Kitwana amesema kufanya hivyo ni uzalendo wa hali ya juu na itatoa fursa kwa […]

MICHEZO
April 03, 2025
51 views 8 mins 0

TIMU YA YANGA YAKOSHWA NA “MAAJABU” YA TABORA ZOO

📍Pacome, Diarra wavutiwa na mnyama Simba Na Beatus Maganja, TABORA Viongozi na wachezaji wa Timu ya Young Africans (Yanga) leo hii wamefanya ziara katika Bustani ya Wanyamapori Hai Tabora, maarufu kama Tabora Zoo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kukuza utalii wa ndani na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo […]