Home > Articles posted by MACHINGA TV
FEATURE
on Apr 29, 2025
10 views 3 mins

_▪️Awataka watumie akili mnemba kama nyenzo na si kikwazo cha uhuru wao_▪️ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Waandishi wa Habari nchini kutumia Akili Mnemba (Artificial Inteligence) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na sio kikwazo cha uhuru wao. Amesema kuwa katika dunia ya sasa, vyombo vya habari vinakutana na changamoto mpya […]

FEATURE
on Apr 29, 2025
10 views 42 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2025 akihitimisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa mwaka 2025/2026 bungeni jijini Dodoma. @biteko @wizara_ya_nishati_tanzania @onwm_tanzania @judith__kapinga

FEATURE
on Apr 29, 2025
13 views 3 mins

Na Penina Malundo SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi (YST),limepokea idadi kubwa ya maombi ya kazi za kisayansi kutoka kwa wanafunzi  kushiriki mashindano ya sayansi yanayofikia 1,516 kwa mwaka 2025 ukilinganisha na mwaka uliopita mapmbi 1055. Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, Mwanzilishi Mwenza wa YST Dk. Gozibert Kamugisha  wakati akiongea na waandishi wa habari  juu […]

FEATURE
on Apr 28, 2025
30 views 49 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali chini ya Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inalojukumu la kuhakikisha uchaguzi Mkuu unafanyika kwa amani na haki. “Wito wangu kwa kanisa ni kuendelea kuliombea Taifa liendelee kuwa na amani,” amesema na kuongeza kuwa atamtaatifu Mhe. Rais kuhusu […]

FEATURE
on Apr 28, 2025
24 views 30 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA AFRICA KUSINI Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amesema kuwa Serikali iko bega kwa bega na vilabu vya mpira wa miguu kuhakikisha michezo nchini inapata hadhi inayostahili. Mhe. Mwinjuma amesema hayo wakati akiwapongeza Simba SC baada ya kufuzu kutinga fainali ya kombe la Shirikisho la Afrika […]

FEATURE
on Apr 27, 2025
32 views 2 mins

Mtwara, Ruvuma 📌Ni mradi wa ujenzi wa njia kubwa ya kusafirisha umeme wa kilovoti 220 Tunduru -Masasi . 📌Jumla ya shilingi Bilioni 4.7 kutumika kulipa fidia  kwa wananchi 📌Wananchi waahidi kuyahama maeneo  ndani ya siku 30 walizopewa. Jumla ya wananchi 1,526  wanatarajia kunufaika na malipo ya fidia ya shilingi Bilioni 4.7 baada ya kupisha Mradi […]

FEATURE
on Apr 27, 2025
29 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ▪️Awasisitiza Watendaji hao wazingatie maadili ya utumishi, uwazi na utawala bora WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa Watendaji wa Vyama vya Ushirika ili wazingatie maadili ya utumishi wa ushirika, uwazi, uwajibikaji na utawala bora, na hivyo kuwavutia wanachama na wawekezaji. Pia, Mheshimiwa Majaliwa ameiagiza […]

FEATURE
on Apr 27, 2025
22 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama maalum kwa ajili ya […]

FEATURE
on Apr 27, 2025
27 views 26 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Singida Katibu wa Jumuiya  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Singida Bi. Naomi Daudi ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe. Bi. Naomi ameyasema hayo mara baada ya kutembelea banda la TARURA kwenye maonesho ya maadhimisho ya […]