Home > Articles posted by MACHINGA TV (Page 11)
FEATURE
on Apr 3, 2025
60 views 2 mins

Na Madina Mohammed PWANI WAMACHINGA Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru ya pwani imewataka wananchi kuajibika Katika kupambana na rushwa pia kuisaidia takukuru Katika mapambano hayo ya rushwa katika kipindi hichi Cha uchaguzi mkuu Ameyasema hayo Leo 03 Machi 2025 Mkuu wa takukuru (M) Pwani Domina Mukama Amesema takukuru imepata nafasi ya kipekee […]

FEATURE
on Mar 30, 2025
84 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amemjibu Kiongozi Mstaafu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe kuwa CCM haibishani na CHADEMA kwa kuwa iliwaambia wazungumze wakajibu hawako tayari kupotezewa muda. Pia, Wasira ametumia nafasi hiyo kuwaambia CHADEMA wajitokeze hadharani wawaambie wanataka nini na kama wanashindwa kuiambia CCM basi waiambie Tume. Akizungumza […]

FEATURE
on Mar 30, 2025
59 views 38 secs

Kwa mara ya pili mfululizo, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeshinda tena tuzo ya Uhusiano Mwema na Vyombo vya habari, ikionesha namna taasisi hiyo inavyothamini uhuru wa vyombo vya habari katika kuuhabarisha umma kuhusu shughuli zake. Tuzo hiyo ilitolewa jana(29.3.2024) na Chama cha Maofisa Uhusiano Tanzania (PRST), baada ya mchuano […]

FEATURE
on Mar 30, 2025
56 views 3 mins

๐Ÿ“ŒShirika labeba tuzo 4 kati ya 12 zilizoandaliwa. ๐Ÿ“ŒMawasiliano ya Kimkakati na Ubunifu vyatajwa kati ya sababu za Ushindi huo. Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kung’ara baada ya kushinda jumla ya tuzo 4 kati ya 12  zilizotolewa na Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania(PRST)kwa mwaka 2024. Tuzo hizo zilizotolewa 29, Machi 2025 jijini […]

FEATURE
on Mar 30, 2025
73 views 48 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“ŒUrahisi wa upatikanaji huduma kwa njia za kidigitali watajwa moja ya kigezo cha kushinda tuzo hiyo ๐Ÿ“ŒMD Gissima aibuka kidedea kwa Kusimamia Maboresho yenye tija huduma kwa wateja Sekta ya Umma. Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa mara nyingine tena limeshinda tuzo ya the ”Most improved Organization” eneo la huduma kwa […]

FEATURE
on Mar 29, 2025
68 views 2 mins

NA MWANDISHI WETU,  KILIMANJARO WAKAZI wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jana tarehe 28 Machi 2025, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa jumla ya kilogramu 518.57. Watuhumiwa hao, Nimkaza Mbwambo, Prosper Lema, Nterindwa Mgalle, na Stephanie Mrutu, walisomewa […]

FEATURE
on Mar 29, 2025
58 views 9 secs

Jiji la Mwanza limeshuhudia matembezi makubwa na ya kihistoria yaliyoandaliwa na Umoja wa Makundi Mbalimbali chini ya mwavuli wa Generation Samia (GEN-S) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). Matembezi haya yalifanyika kuelekea Kongamano Kubwa la Wazi la Fursa za Uchumi, likiwa na kaulimbiu โ€œMgao wa 30% za Samia Kupitia Mfumo […]

FEATURE
on Mar 29, 2025
47 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“Œ Wamshukuru Rais Samia kwa kupunguza gharama za umeme ๐Ÿ“Œ Elimu kuhusu matumizi bora ya nishati yatolewa ๐Ÿ“Œ Watakiwa kuchangamkia fursa ya kuunganisha umeme Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu, na wameipongeza Serikali […]

FEATURE
on Mar 29, 2025
50 views 6 secs

Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene Isaka amewataka watumishi kuendeleza maombi na kutenda matendo mema kupitia Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan na Kwaresima ambayo kwa mwaka huu imewaunganisha waumini wa madhehebu ya Kikristu na Waislam. Amesisitiza hayo jana Jijini Dodoma wakati wa futari iliyoandaliwa na Mfuko na kuhudhuriwa na Watumishi wa Makao Makuu na […]