Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC) imetoa elimu na uhamasishaji kwa wananchi wa vijiji vya Nsongwi Juu, Nsenga na Mbeye I, ili kuimarisha uhusiano na jamii zinazozunguka miradi ya jotoardhi ngozi. Ziara hiyo ilifanyika Machi 17 hadi 20, mwaka huu na wakazi wa maeneo hayo kunufaika na elimu iliyotolewa na kuonesha utayari […]
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa Serikali inafurahishwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kwa kutoa kipaumbele cha fursa za ajira kwa Watanzania kupitia utekelezaji wa Sera ya kuwawezesha wazawa ( Local Content). […]
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari amewakumbusha Mawakili wa Serikali kufanya kazi kwa haraka, kwa wakati na kwa kuzingatia ubora, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ameyasema hayo tarehe 25 Machi, 2025 wakati akizungumza na Mawakili wa Serikali kwenye Mafunzo maalumu kwa Mawakili hao yanayofanyika Jijini Arusha. Mwanasheria Mkuu wa Serikali amewakumbusha Mawakili wa Serikali […]
AMO FOUNDATION WAMSAPOTI RAIS SAMIA KWA KUWASHIKA WATOTO WALIOKUWA NA UHITAJI KWA KUWAPA BAISKELI 30
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya AMO Foundation Kwa kushirikiana na Shirika la PDT Foundation imeweza kuwachangia watoto wanaoishi Katika mazingira magumu wanaotembea umbali mrefu Ili kufika shuleni Kwa kuwachangia baiskeli 30 Ameyasema hayo Leo 23,Machi 2025 Mkurugenzi wa AMO Foundation Amina Said Amesema kuwa tumewachangia baiskeli 30 lakini […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kupitia Kituo cha Hali ya Hewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), imeadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani kwa kutoa elimu kwa wadau pamoja na kuweka mipango ya kuendelea kuboresha huduma na kuongeza tija na ufanisi katika kuhakikisha usalama wa […]
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wajumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi katika futari aliyoiandaa. Hafla hiyo ya imefanyika katika Viwanja vya Ikulu Zanzibar, tarehe 22 Machi 2025. Ameeleza kuridhika kukamilisha Sadaka ya Futari kwa Mikoa yote […]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ina dhamira ya dhati ya Kuijenga Zanzibar yenye Maendeleo endelevu na huduma bora za jamii ikiwemo Elimu, Afya na Maji Safi na Salama. Rais Dkt.Mwinyi amesema hayo alipoizindua Sera Mpya ya Maji na Usafi wa Mazingira ya 2025 hafla iliofanyika […]
*📌 Dkt. Kazungu asema Wizara itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya Kimkakati.* *📌 Baraza lapitisha rasimu ya bajeti ya 2025/2026 .* 📌 Hoja za TUGHE zajadiliwa kwa kina na kupatiwa ufumbuzi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu leo Machi 22, 2025 amefungua Baraza la saba la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati ambalo limepitia […]
Na Happiness Shayo – Njombe Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sekta ya Misitu ili kuleta ufanisi na manufaa zaidi katika kuchangia ukuaji wa pato la Taifa (GDP) na kunufaisha wananchi kupitia rasilimali za misitu zilizopo […]
📌Taa za barabarani 95 zawekwa Mji wa Tunduma 📌Km. 50 za barabara mpya zafunguliwa Halmashauri ya Momba Tunduma,Momba Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya […]