๐Taa za barabarani 95 zawekwa Mji wa Tunduma ๐Km. 50 za barabara mpya zafunguliwa Halmashauri ya Momba Tunduma,Momba Kwa mara ya kwanza wananchi wa Kata ya Mpemba na Mpande wananufaika na kufurahia matunda ya ujenzi wa barabara itakayochochea kasi ya ukuaji wa uchumi na Maisha yao kwa ujumla. Mhandisi Yusuph Shabani Meneja TARURA Wilaya ya […]
ย _โช๏ธAsema Tanzania inayo teknolojia ya uchakataji mazao ya misitu.__โช๏ธAisistiza Wizaraย kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji wa mazao ya misitu._ย WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wa uzalishaji mazao ya misitu kuhakikisha wanaongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini badala ya kusafirisha malighafi hizo nje ya nchi. Amesema kuwa Tanzania kwa sasa inayo teknolojia […]
Na John Mapepele Kwa mara ya kwanza katika historia ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani ya mwaka huu hapa nchini yanayofanyika katika viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe Wizara ya Maliasili na Utalii imeandaa maonesho maalum ya mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu pamoja na Wanyamapori. Kwa vipindi tofauti wakikagua maandalizi ya siku […]
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa Mizani waliokuwa zamu katika Mizani zilizopo katika barabara kuu ya T1 inayoanzia Dar es Salaam โ Zambia kupitia mpaka wa Tunduma kwa ajili ya kupisha uchunguzi wa malalamiko katika Mizani hizo. Ulega amefanya maamuzi […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) imesema inajivunia mageuzi makubwa ya kisera ambayo yamewezesha kuwapo kwa mafanikio ya utoaji mafunzo ya amali. Akizungumza Machi 20,2025 na waandishi wa habari kwenye maonesho ya miaka 30 ya Veta, Mkurugenzi Mtendaji wa VTA, Dk. Bakari Ali Silima, amesema mageuzi makubwa yamefanyika tangu kuanzishwa […]
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *๐Ujenzi wafikiaย 94%* *๐DODOMA* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94. Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo tarehe 20 Machi 2025, wakati […]
๐ *Uzalishaji umeme waongezeka kwa asilimia 59.9* ๐ *Misheni 300 kuongeza upatikanaji umeme kwa asilimia 100 ifikapo 2030.* ๐ *Serikali yaokoa sh.i bilioni 58.4 kwa kuunganisha Kigoma na gridi ya Taifa.* ๐ *Upatikanaji bidhaa za mafuta umeendelea kuwa wa uhakika* Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]
๐ Asisitiza kuwa, Rais Samia anajenga vyuo kila wilaya nchini ๐Apongeza utoaji wa mafunzo na ujuzi kuendana na teknolojia ya kisasa ๐Makundi maalumu kupewa kipaumbele ๐Asema VETA itakuwa msingi kwa malezi ya watoto na Vijana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeamua kuwekeza kwenye ufundi ili Watanzania […]
๐ Mapato na Idadi ya Watalii Vyaongezeka Na Beatus Maganja, Mbeya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko, amesema kuwa juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan […]
*๐Waziri wa Mambo Nje Misri atembelea Bwawa la Julius Nyerere* *๐Asifu hatua za Rais wa Tanzania na Misri kusimamia utekelezaji wa mradi* *๐Mradi wafikia asilimia 99.89* *๐RUFIJI* Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amesema Tanzania na Misri zitaendeleza ushirikiano kwenye utekelezaji wa miradi ya umeme na kudunisha ushirikiano uliowekwa na waasisi wa nchi hizo. […]